Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina? daah hii changamoto.ngoja akuzalie mchina tuone utasemaje
Je mtoto akitaka kumjua baba yake halisi wa kibayolojia?Nikizaa na mke wangu ukaleta pua yako kuwa mtoto ni wako ukitegemea ntamfukuza au kukuachia mtoto unajidanganya, mtoto sikupi na mke akileta ujinga namtimua,
Yaani mimba nitunze mimi mtoto uje uchukue wewe?
Sawa nimekuelewa mkuuNi upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura zetu ? Nikamuambia maadamu ulihakikisha unamzaa basi huyo ni wetu na mimi ndio baba yake.
Ingelikuwa watoto lazima wafanane na wazazi wao basi dunia nzima wpte tungekuwa na sura ya ADAM na hawa mana ndio binadamu wa mwanzo(kwa mujibu wa imani kadhaa).
Mimi mtu akipanda ndizi kwenye shamba langu sina haja ya kutafuta nani kapanda,zikiota nitakula na siulizi kitu chochote.
Kama mtu kaja kuweka laki moja yake kwenye mfuko wa suruali yangu alafu akaondoka mimi natumia hizo pesa na wala siulizi chochote.
Na kwa mtoto hivyo hivyo mtu kajipendekeza kupachika mimba kwa mkeo wewe mhodhi mtoto anakuwa wako daima.
Mtoto ni mali ya wazazi kama mungu amejaalia mtoto amezaliwa kwenye ndoa yenu usimuache komaa nae mpaka akue hata kama sio wako kibaiolojia ila ukimlea kimapenzi atakuita baba na atakuwa na mapenzi ya kweli kama baba yake mzazi tu.
Kinachowaweka karibu baba na mtoto sio uhusiano wa kibaoolojia bali ni ukaribu katika malezi yao,hivyo hata kama sio mwanao biologically lakini kimalezi atakuwa mwanao na mtaishi kwa upendo na yeye atajua hivyo.
Asante kwa kunilelea mtoto wangu ubarikiwe mkuu. Akiwa mkubwa mamake atamwambia ukweli kuwa wewe sio babake mzazi.Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura zetu ? Nikamuambia maadamu ulihakikisha unamzaa basi huyo ni wetu na mimi ndio baba yake.
Ingelikuwa watoto lazima wafanane na wazazi wao basi dunia nzima wpte tungekuwa na sura ya ADAM na hawa mana ndio binadamu wa mwanzo(kwa mujibu wa imani kadhaa).
Mimi mtu akipanda ndizi kwenye shamba langu sina haja ya kutafuta nani kapanda,zikiota nitakula na siulizi kitu chochote.
Kama mtu kaja kuweka laki moja yake kwenye mfuko wa suruali yangu alafu akaondoka mimi natumia hizo pesa na wala siulizi chochote.
Na kwa mtoto hivyo hivyo mtu kajipendekeza kupachika mimba kwa mkeo wewe mhodhi mtoto anakuwa wako daima.
Mtoto ni mali ya wazazi kama mungu amejaalia mtoto amezaliwa kwenye ndoa yenu usimuache komaa nae mpaka akue hata kama sio wako kibaiolojia ila ukimlea kimapenzi atakuita baba na atakuwa na mapenzi ya kweli kama baba yake mzazi tu.
Kinachowaweka karibu baba na mtoto sio uhusiano wa kibaoolojia bali ni ukaribu katika malezi yao,hivyo hata kama sio mwanao biologically lakini kimalezi atakuwa mwanao na mtaishi kwa upendo na yeye atajua hivyo.
Hahhah mkuu maisha kujipa stress ni kujitakia tu.Asante kwa kunilelea mtoto wangu ubarikiwe mkuu. Akiwa mkubwa mamake atamwambia ukweli kuwa wewe sio babake mzazi.
Nimeona mambo ya DNA yamekithiri sana.Mkuu yamekusibu yepi mpaka umefikiria hivyo? ,,baba ni yule aliyetoa jasho kukulea,,, mtoto hata akitaka kumjua baba yake halisi/ kibaiolojia bado hawezi kukusahau, Tulee watoto wote kwa upendo
Baada ya kukosa mnachotarajia kutoka midomoni mwetu lazima mtakimbia kwenye mioyo yetu
Kwa hiyo unafikiri huyu mtoa mada ni mtoto mdogo? Ndo hayo unamwacha mkeo kisa kachepuka tuwe wavumilivuUko nikujifariji tu.hayajakukuta.yakikukuta ndo utajua unazika au unasafirisha.