Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Ila wewe jamaa chizi kweli[emoji3][emoji3][emoji3]Hata wewe na umri wako ukikubali kubeba jina langu nakulea tu, hakuna haja ya kuona wivu uanze kuongea mambo usiyoyajua sijui urijali sijui dhaifu[emoji1787].
Au kama una mke amekushinda ww leta na watoto tu tubadili majina. Na urithi nawapa.
Mkulu maisha ni haya haya. Kama afya inaruhusu yafurahie.Ila wewe jamaa chizi kweli[emoji3][emoji3][emoji3]
Are you fine in your head!?Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura zetu? Nikamuambia maadamu ulihakikisha unamzaa basi huyo ni wetu na mimi ndio baba yake.
Ingelikuwa watoto lazima wafanane na wazazi wao basi dunia nzima wpte tungekuwa na sura ya ADAM na hawa mana ndio binadamu wa mwanzo(kwa mujibu wa imani kadhaa).
Alafu uzuri ni kuwa hata kwa Mungu haupati dhambi ukijimilikisha mtoto kama huyo,yani kila upande unanipa sapoti.
Mimi mtu akipanda ndizi kwenye shamba langu sina haja ya kutafuta nani kapanda,zikiota nitakula na siulizi kitu chochote.
Kama mtu kaja kuweka laki moja yake kwenye mfuko wa suruali yangu alafu akaondoka mimi natumia hizo pesa na wala siulizi chochote.
Na kwa mtoto hivyo hivyo mtu kajipendekeza kupachika mimba kwa mkeo wewe mhodhi mtoto anakuwa wako daima.
Mtoto ni mali ya wazazi kama mungu amejaalia mtoto amezaliwa kwenye ndoa yenu usimuache komaa nae mpaka akue hata kama sio wako kibaiolojia ila ukimlea kimapenzi atakuita baba na atakuwa na mapenzi ya kweli kama baba yake mzazi tu.
Kinachowaweka karibu baba na mtoto sio uhusiano wa kibaoolojia bali ni ukaribu katika malezi yao,hivyo hata kama sio mwanao biologically lakini kimalezi atakuwa mwanao na mtaishi kwa upendo na yeye atajua hivyo.
NB : endapo unaishi na mtu hujamuoa alafu mnapiga washkaji kibao na demu akapata mimba hapo naweza kuona umuhimu wa DNA kwa sababu mali haina mtu maalumu hivyo DNA itatoa majibu nani mwenye mtoto.
Du[emoji23][emoji123][emoji106]Ngoja akuzalie mchina tuone utasemaje
Binadamu mwenye akili timamu hajifananishi na wala hamuigi mnyama anachofanya kisha na yeye ndo afanye.Wanaume tumepungua simba dume tu anapovamia pride na kushinda Vita huuaa Yan anaua vitoto vyote cubs ambazo s za damu yake anaanza upya kuzalisha uzao unaotokana na yeye
Upo ndani ya mada.Binadamu hua tuna akili za ajabu sana hatuna tofauti na wanyama.
Simba dume anapovamia kambi ya simba mwingine na kumshinda, hua anaua watoto wote wa yule simba na kuanzisha uzao wake.
Cha ajabu binadamu na sisi eti mfano ukikuta mwanamke/mwanaume ana mtoto aliezaa kabla hajakutana na wewe, na wewe eti unaanza kumchukia mtoto!! Hizo ni akili za wapi?
Binadamu yupo tayari kulea watoto wa ndugu, majirani, hata ku adopt watoto wa mtaani lakini hayuko tayari kulea mtoto wa mume/mke wake!
Sijui kama nipo ndani ya mada.
S kujifananisha apo n fumbo yan kuonesha urijali na upambanaji Ukiwa mwanaume uliyekamilika lazima uwe hivo na kwa vovyote zaaa mtoto anayetokana na wew ili kuendeleza kizaz chako Wanaume tunafeli Wap? Yan unakubali yaishe ututnzBinadamu mwenye akili timamu hajifananishi na wala hamuigi mnyama anachofanya kisha na yeye ndo afanye.
Binadamu anatumia ufahamu wake kutatua mambo.
Kama wewe mwalimu wako simba sawa
Mwanaume rijali na mahir kutunza sperm za mwanaume mwenzako n ushoga huoS kujifananisha apo n fumbo yan kuonesha urijali na upambanaji Ukiwa mwanaume uliyekamilika lazima uwe hivo na kwa vovyote zaaa mtoto anayetokana na wew ili kuendeleza kizaz chako Wanaume tunafeli Wap? Yan unakubali yaishe ututnz
KABISA,Sio vibaya kujifariji mdomoni Ila Moyo ndio wenye ukweli.
Kwwnza usije rogwa ukaenda ku confirm mtoto kwa mke wako wa ndoa wale ustawi wa jamii na mkemia mkuu utafikili wana maelekezo kutoka juu.Yaani hapo jibu linakuja mtoto ni wako kwa sababu wanachoamini ni kuwa umeenda ili upewe uhakika au uonhezewe imani kuwa yule mtoto ni wako.Ukitaka kujua nachomanisha we angalia report yao ya mwaka huwa inasema kuwa wengi waliokuja kupima DNA watoto wanaonesha sio wao ila kila alie enda jibu lilikuwa ni wako huyo pia hawakupi majibu urudi nayo nyumbani wanaogopa utaenda nchi nyingine ku confirm alafu ukute majibu mengine utawashitaki.Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura zetu? Nikamuambia maadamu ulihakikisha unamzaa basi huyo ni wetu na mimi ndio baba yake.
Ingelikuwa watoto lazima wafanane na wazazi wao basi dunia nzima wpte tungekuwa na sura ya ADAM na hawa mana ndio binadamu wa mwanzo(kwa mujibu wa imani kadhaa).
Alafu uzuri ni kuwa hata kwa Mungu haupati dhambi ukijimilikisha mtoto kama huyo,yani kila upande unanipa sapoti.
Mimi mtu akipanda ndizi kwenye shamba langu sina haja ya kutafuta nani kapanda,zikiota nitakula na siulizi kitu chochote.
Kama mtu kaja kuweka laki moja yake kwenye mfuko wa suruali yangu alafu akaondoka mimi natumia hizo pesa na wala siulizi chochote.
Na kwa mtoto hivyo hivyo mtu kajipendekeza kupachika mimba kwa mkeo wewe mhodhi mtoto anakuwa wako daima.
Mtoto ni mali ya wazazi kama mungu amejaalia mtoto amezaliwa kwenye ndoa yenu usimuache komaa nae mpaka akue hata kama sio wako kibaiolojia ila ukimlea kimapenzi atakuita baba na atakuwa na mapenzi ya kweli kama baba yake mzazi tu.
Kinachowaweka karibu baba na mtoto sio uhusiano wa kibaoolojia bali ni ukaribu katika malezi yao,hivyo hata kama sio mwanao biologically lakini kimalezi atakuwa mwanao na mtaishi kwa upendo na yeye atajua hivyo.
NB : endapo unaishi na mtu hujamuoa alafu mnapiga washkaji kibao na demu akapata mimba hapo naweza kuona umuhimu wa DNA kwa sababu mali haina mtu maalumu hivyo DNA itatoa majibu nani mwenye mtoto.
Ujinga huo sifanyi Mimi[emoji3525]Binadamu hua tuna akili za ajabu sana hatuna tofauti na wanyama.
Simba dume anapovamia kambi ya simba mwingine na kumshinda, hua anaua watoto wote wa yule simba na kuanzisha uzao wake.
Cha ajabu binadamu na sisi eti mfano ukikuta mwanamke/mwanaume ana mtoto aliezaa kabla hajakutana na wewe, na wewe eti unaanza kumchukia mtoto!! Hizo ni akili za wapi?
Binadamu yupo tayari kulea watoto wa ndugu, majirani, hata ku adopt watoto wa mtaani lakini hayuko tayari kulea mtoto wa mume/mke wake!
Sijui kama nipo ndani ya mada.
Binafsi,Wanaume tumepungua simba dume tu anapovamia pride na kushinda Vita huuaa Yan anaua vitoto vyote cubs ambazo s za damu yake anaanza upya kuzalisha uzao unaotokana na yeye