Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
WEEEE KIRAHISI TUFumba macho sindano iingie mwanangu.
Kitanda hakizai haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEEEE KIRAHISI TUFumba macho sindano iingie mwanangu.
Kitanda hakizai haramu.
😂😂😂😂 Inaonekana atamlea badoNgoja akuzalie mchina tuone utasemaje
Mimi akijilengesha mtu wa namna hiyo kwangu,ajue nakula maini na moyo wake.halafu namzika. Yaani kwanza kampachika wife wangu mimba,halafu mm nikakausha ili familia yangu isiyumbe ,nikakomaa nikalea mimba japo najua kwa Siri hii nimepigwa ,mtt akazaliwa nikalea Hadi akakua ,akafanikiwa ,halafu mwishoni fala anajipendekeza eti mwanae,walahi naua yeye,na wtt wake wote,na mkewe pia.yaani nahakikisha nafunga mlango wa nyumba yake!! pumbavu!!Nikizaa na mke wangu ukaleta pua yako kuwa mtoto ni wako ukitegemea ntamfukuza au kukuachia mtoto unajidanganya, mtoto sikupi na mke akileta ujinga namtimua,
Yaani mimba nitunze mimi mtoto uje uchukue wewe?