Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Ushamba na Utoto Unakusumbua.

Ukitaka kutoboa maisha learn to disappoint women often (women in exception of ur mom).

Mwanaume anasifiwa mipango na kutekeleza mipango yake, asa we kalia kufurahisha women hayanaga shukran hayo makeng€ 🤣🤣🤣
 
ok.🐒
 
Hata kujiongeza hawezi

Ukiwa unawinda lzm ujue taimin na ukashike wapi na kwa muda gani ili mnyama wako asafoketi vzr 🤣

Hafu utulie ujiulize ulie palepale au umbebe ukalie sehemu nyingine
Hakuchanga karata zake vizuri tu!

Kuna rafkiangu mmoja aliitwa na mwenzie kuwa kuna mubaba wa geita anakuja mwanza waende wakale dinner!

Wakaenda wote wakafika wakaagiza kama unavyojua wadada wa mjini, mwenye martini rose, mwenye vsop, makuku sijui nini na sehemu ni expensive, na walienda jopo!

Yule baba akawa anaenda kaunta kila mara, baadae akawaambia simu yake inazima ameweka charge kaunta, na kuna mwenzie anakuja hivyo wamuazime simu ampigie kumuelekeza wakampa iphone
👁
👀
alipotoka kuongea na cm ndio byebye


Aisee kumbe yule dada hata bwana hamjui wameokotana online tu, haya mambo ya kujianika mitandaoni, akatongozwa akatambulishwa mzee ni wa madini lols, waliacha cm kaunta walijikusanya mpaka bill ikalipwa mwenye kupiga cm mwenye kukopa! Hawakurudia!!🙌🏾
 
Mpwa I am so disappointed!Ulikuwa na option mbili,ama kuwaambia kuwa utalilipia uliyemwalika wengine wajilipie,au kuondoka kimyakimya bila kugeuka nyuma!.Haukufanya lolote kati ya hayo! You are a coward!
You think you can please women? Learn or perish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…