Sitooa abadan asilan

Wala usihangaike na ndoa, relax kwanza, kula raha kwanza, baadae utakapo amua kuoa(kuishi na balaa ndani) oa! Watu wasikudanganye, kuishi na mwanamke kwa dunia ya leo ni shubiri, ni balaa!
 
Wanaoa wanaume wewe mtoto subiri kwanza
 

Attachments

  • 70c5704c42a661c5435967e10f9dea43.mp4
    1,019 KB
Nimekupata sana, yaani wanatafuta justification ili wajione wapo sahihi.
 
💯🤝
 
'Ela' ndio kila kitu....! Sawa. Labda kuna ukweli flani.

Ndoa ina umuhimu wake tofauti na ngono tu ambayo vijana wengi mnafikiria, lakini hata hiyo ngono, ni tofauti sana ukiipata kwa mkeo na ukiipata kwa malaya wa barabarani.

Kama sababu yako ya kutooa ni kwa sababu unaweza kupata ngono bila ndoa, hiyo sababu haina misingi, inaelea. Japo pia ni kweli kwamba kuna sababu nyingi zinazofanya baadhi ya watu wasione kabisa uzuri au umuhimu wa ndoa. Lakini kwako wewe inaonekana bado mdogo na miaka ikisonga unaweza ukabadili msimamo.

Lakini, hata usipobadili msimamo ukaamua kutooa hadi uzeeni, napo pia ni sawa tu, maisha ni mafupi halafu hayana maana yeyote, Life has no meaningful objective, Sometimes is like an illusion.
 
Endeleeni kuzalisha nje badae mje muwaponde humu single mothers wa watu...kuoa au kuolewa utabaki kuwa na heshima yake hata mje maelfu kusema ndoa sio jambo jema..kuna kazi zingine mtazikosa au vyeo mtavikosa kisa tuu huna ndoa ya kisheria.
Ndoa ina heshima kwa sababu tu ya mila za kiafrika ambazo zinabadilika kwa kasi sana, siku zijazo tutakuwa tu kama ulaya, mtu bachela ataruhusiwa kuwa raisi kama vile nchi za ulimwengu wa kwanza.

Ukizungumzia kazi au vyeo, mbona kuna watu hawana ndoa na wana kazi nzuri sana na vyeo vikubwa, na wanafanya vizuri makazini, nikupe mifano?
 
Cha msingi ni kuwa na ela tu.

Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake.
Ulishawahi kuona Tajiri asiye na Mke?

Yaani kushobokea madanguro ya sex workers basi unajiona mjanja sana?

Mabilioni ya wanaume wanao ia kila siku woote hawana akili isipokuwa wewe mwenzetu wa hapo Runzewe shinyanga?
 
Ulishawahi kuona Tajiri asiye na Mke?

Yaani kushobokea madanguro ya sex workers basi unajiona mjanja sana?

Mabilioni ya wanaume wanao ia kila siku woote hawana akili isipokuwa wewe mwenzetu wa hapo Runzewe shinyanga?
Kwanza kuilinganisha Runzewe Shinyanga na mambo yasiyokuwa na akili haikubaliki. Runzewe ni sehemu nzuri sana, tengua kauli.

Pili, kama wewe hujawahi kuona tajiri asiye na mke basi hujatembea, au labda macho yako yana makengeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…