Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoa wanaume wewe mtoto subiri kwanzaZamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
MakubwaKama ulimpata kwa ajili ya pesa zako sasa pesa zimeisha nini kitambakiza?
Nimekupata sana, yaani wanatafuta justification ili wajione wapo sahihi.Ndugu, chochote kisicho na thamani/umuhimu ubongo wetu umeumbwa kupuuza na kusahau
kama ulivyoshusha mzigo leo asubuhi uka flash fasta ukaondoka ukasahau hujaja kupost JF
Au ulivyokaa kwenye ndinga yako akapita machinga anauza maepo hukununua umesahau hujapost jf
Au ulivyoondoka nyumbani bila kumgongea jirani kumsalimia
Vipi ingekuwa umeondoka hujamsalimia mkeo kitandani? Dhahiri ungesumbuka siku mzima kwasababu ya ugomvi mlio nao ambao akilini unajua hampaswi kuwa na ungomvi,
Ndoa ni kitu kiko akilini mwenu muda wote wanaume wa JF, kukosa ndoa kunawatesa sana, makala na mijadala mirefu ya kuponda ndoa na wanawake kila siku kwasababu ni jambo linasumbua akili zenu
Lingekuwa ni jambo mlilopuuza kusingekuwa na makala hata moja kuhusu ndoa na wanawake nakuhakikishia
💯🤝Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Next generation maana yake nini, unaweza kujadili?Its sad kuona vijana wanathamini sana hela kuliko their next generation
Literally TOO SAD
'Ela' ndio kila kitu....! Sawa. Labda kuna ukweli flani.Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Ndoa ina heshima kwa sababu tu ya mila za kiafrika ambazo zinabadilika kwa kasi sana, siku zijazo tutakuwa tu kama ulaya, mtu bachela ataruhusiwa kuwa raisi kama vile nchi za ulimwengu wa kwanza.Endeleeni kuzalisha nje badae mje muwaponde humu single mothers wa watu...kuoa au kuolewa utabaki kuwa na heshima yake hata mje maelfu kusema ndoa sio jambo jema..kuna kazi zingine mtazikosa au vyeo mtavikosa kisa tuu huna ndoa ya kisheria.
Haina shida wataoa wengine.
Mbona akida dada mnawaponda vijana wasiopenda kuoa? Ni kweli mnafaidi sana ndoani au ni mkumbo tu wa kwamba ndoa ni heshima?Mnaogopa majukumu
Umeandika kama mzabzab .Tuendelee kuzichakata mbususu Kwa kufanya ubunifu kwenye mbususu na kutafuta pesa daily
Ulishawahi kuona Tajiri asiye na Mke?Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake.
Umeandika vizuri sana, hata kama siungi mkono ulichokiandika.Dalili za kiama hizi, watu watapromot maovu na kuyakataza mema, ni kama inavotangazwa kamari sikuiz maredion mara bukutua, pakua, mara pakuliwa....Dunia ishakua na purukushani
Kuwa na familia muhimuMbona akida dada mnawaponda vijana wasiopenda kuoa? Ni kweli mnafaidi sana ndoani au ni mkumbo tu wa kwamba ndoa ni heshima?
ongeza sauti mbon kinyonge ivyo...Haina shida wataoa wengine.
Kwanza kuilinganisha Runzewe Shinyanga na mambo yasiyokuwa na akili haikubaliki. Runzewe ni sehemu nzuri sana, tengua kauli.Ulishawahi kuona Tajiri asiye na Mke?
Yaani kushobokea madanguro ya sex workers basi unajiona mjanja sana?
Mabilioni ya wanaume wanao ia kila siku woote hawana akili isipokuwa wewe mwenzetu wa hapo Runzewe shinyanga?