Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hata wakwako zamu itafika tu ataliwa tena bure au kwa pesa yako unayompa naye anatoa.Kuna mke wa jamaaa mmoja nakaza sasa namtishia nataka kumuacha ili nimovi na mambo yangu anatishia kujiua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakwako zamu itafika tu ataliwa tena bure au kwa pesa yako unayompa naye anatoa.Kuna mke wa jamaaa mmoja nakaza sasa namtishia nataka kumuacha ili nimovi na mambo yangu anatishia kujiua
Wewe bado hujakiona mkuu ???Ni kitu gani hicho kiongozi..
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Bado, Hebu niume sikio kiongozi..Wewe bado hujakiona mkuu ???
Oa wewe mwanamme haogopi changamoto sasa mnataka dada zenu nani awasugue visimiBroo chukua bia maisha yaende nitalipia
Haha Kuna wanaume washakukimbia nini baada ya wewe kupata shida, sisi wanaume tukifilisika kuna guarantee kabisa mdada atakukimbia..Ila sikuhizi ukipata shida ndoani mwenza badala ya kukupa kampani apite nawe shidani na Faraja tele yeye ndo hukukimbia mazima.Sijui ndo shetani kashatawala walimwengu? Daaa
Kwanza mtu unaoa ili iweje?Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Unaweza ukaoa, na uzeeni ukabaki mpweke, wanawake wenyewe ndio nyie, wengi wenu hata kutupikia hamtaki, ndio uzeeni mtatuhudumia na kututoa upweke? Hahahaa Pau BaeWe expect you to have a self sustaining life and so your family.
Hatukumaanisha utafute hela then usijenge familia btn utajisikiaje watoto wa dada zako na bro wanafurahia unapowapakiza kwa gari yako? Au wanapokuja huko ulipojenga au unapokaa kisingle single wanastay hapo surely how una feel?
Mkuu maisha hayatabaki ulivo leo kuna time unazeeka. au unakua hujiwezi haya hizo kazi za kukuhudumia atafanya dada yako???
MUNGU atuepushe kwakweli🙏
Acha mawazo ya kijinga , hakuna nyumba mjini ya milion 15.Sure. Harusi hadi milioni 40. Inatosha kunua kiwanja cha milioni 8 Goba, unajenga nyumba ya milioni 15 na IST unanunua na chenji juu
Butua, butuliwa, bakua, pakuliwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dalili za kiama hizi, watu watapromot maovu na kuyakataza mema, ni kama inavotangazwa kamari sikuiz maredion mara bukutua, pakua, mara pakuliwa....Dunia ishakua na purukushani
Acha mawazo ya kijinga , hakuna nyumba mjini ya milion 15.
Weka ujasiri kwenye mambo yenye tija.Kusema nimeandika ujinga pasipo kubainisha huo ujinga, unakuwa umeandika Upumbavu.
Uraisi wa nchi..
Kuna vyeo nyeti vya usalama wa nchi huwezi kuwekwa bachelor...
Any way hizi sio sababu nguli za kufanya uoe au uolewe mwisho wa siku kila mtu afanye na aonavyo inampendeza...
Ooo kama ni mawazo yako hayo sawa nisibishe
😂😂😂Nani mshindi kati ya mwanaume na mwanamke?
hivi ni kweli wanawake wamewazidi akili mpaka mnajisalimisha hivo?[emoji848]