Sitooa abadan asilan

Sitooa abadan asilan

Kuna mke wa jamaaa mmoja nakaza sasa namtishia nataka kumuacha ili nimovi na mambo yangu anatishia kujiua
Hata wakwako zamu itafika tu ataliwa tena bure au kwa pesa yako unayompa naye anatoa.
 
Kijana usipo oa Kuna uwezekano mkubwa utaolewa.
Vijana Kukwepa majukumu ndo chanzo kikubwa cha ongezeko la mashoga.
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.

Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.

Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.

Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.

Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani

Cha msingi ni kuwa na ela tu.

Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.

Ila kwa sasa BADO SANA.

Hivyo hapo juu ni visingizio visivyo na maana. Hakuna kinachoweza kushusha thamani ya ndoa
Wanaume tumebaki wachache sana
 
Usikubali kuoa au kuolewa bila kufunga ndoa.

Vijana oeni.
Tafuteni pesa furahini na familia zenu.
 
Ila sikuhizi ukipata shida ndoani mwenza badala ya kukupa kampani apite nawe shidani na Faraja tele yeye ndo hukukimbia mazima.Sijui ndo shetani kashatawala walimwengu? Daaa
Haha Kuna wanaume washakukimbia nini baada ya wewe kupata shida, sisi wanaume tukifilisika kuna guarantee kabisa mdada atakukimbia..

Ila wema wapo, kuna wanawake wanastick na waume zao kwenye ugonjwa na umaskini hadi wanatoboa To yeye
 
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.

Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.

Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.

Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.

Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani

Cha msingi ni kuwa na ela tu.

Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.

Ila kwa sasa BADO SANA.
Kwanza mtu unaoa ili iweje?
Tuanzie hapo kwanza..!
 
Ndoa itakuwa nzuri kama huyo mwenzako uliempata ana akili kichwani, kama ni wale wa kununa kuanzia asubuhi mpaka jioni...aisee kila mtu ana wazazi wake.
 
We expect you to have a self sustaining life and so your family.

Hatukumaanisha utafute hela then usijenge familia btn utajisikiaje watoto wa dada zako na bro wanafurahia unapowapakiza kwa gari yako? Au wanapokuja huko ulipojenga au unapokaa kisingle single wanastay hapo surely how una feel?

Mkuu maisha hayatabaki ulivo leo kuna time unazeeka. au unakua hujiwezi haya hizo kazi za kukuhudumia atafanya dada yako???

MUNGU atuepushe kwakweli🙏
Unaweza ukaoa, na uzeeni ukabaki mpweke, wanawake wenyewe ndio nyie, wengi wenu hata kutupikia hamtaki, ndio uzeeni mtatuhudumia na kututoa upweke? Hahahaa Pau Bae
 
Unaweza ukaoa, na uzeeni ukabaki mpweke, wanawake wenyewe ndio nyie, wengi wenu hata kutupikia hamtaki, ndio uzeeni mtatuhudumia na kututoa upweke? Hahahaa Pau Bae
Mkuu asa si demu wako/au mkeo ndo yupo hivo

Sio wanawake wote 😃
 
Dalili za kiama hizi, watu watapromot maovu na kuyakataza mema, ni kama inavotangazwa kamari sikuiz maredion mara bukutua, pakua, mara pakuliwa....Dunia ishakua na purukushani
Butua, butuliwa, bakua, pakuliwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha mawazo ya kijinga , hakuna nyumba mjini ya milion 15.

Soma hapa. Halafu ukimaliza utakuwa umemjua mjinga halisi kati ya mimi na wewe ni nani;

Hii ni ramani ya chumba kimoja pekee ambapo material ni milioni 2.7.
DML BUILDERS

Ramani ya Chumba kimoja

●1 masterbedroom

MAHITAJI

●Tofali za Msingi 250
●Tofali za Boma 520
●Cement mifuko 5(Msingi)
●Cement mifuko 8(Boma)
●Cement mifuko 4(Mkanda)
●Cement mifuko 3(Lintel)
●Nondo pc 5(Mkanda)
●Nondo pc 4(Lintel)
●Rings 7×4 pc 20(Mkanda)
5×4 pc 15(Lintel)

●Mchanga trip 1 lorry la 4 cubic metre.
●Kokoto trip 1 lorry la 4 cubic metre
●Mbao za 2×2 pc 18(Kupaua&brandering)
2×4 pc 20(Kupaua)
1×10 pc 10(Mkanda&Lintel)
1×5 pc 5(sahani)
●Misumari ya nch 4 kg 5(Kupaua)
nch 3 kg 3(Mkanda)
Kofia kg 5(Kupaua)
●Bati pc 10 za futi 10(Simba Dumu)

GHARAMA YA MATERIAL NYUMBA NZIMA NI ML 2.7
 
Uraisi wa nchi..
Kuna vyeo nyeti vya usalama wa nchi huwezi kuwekwa bachelor...
Any way hizi sio sababu nguli za kufanya uoe au uolewe mwisho wa siku kila mtu afanye na aonavyo inampendeza...
Ooo kama ni mawazo yako hayo sawa nisibishe
 
Back
Top Bottom