Sitooa abadan asilan

Ulitakiwa useme mwanzoni kwamba unajenga chumba, sio nyumba. Nyumba sio tako kwamba kila mtu analo.
 
Navoelewa sisi wanaume wengi hatuogopi majukumu, bali tunawaogopa wanawake, wanawake wengi sahivi ni shida sana, wanawake wengi ni hatari kuliko nyoka, kumpata wife material si mchezo Dejane
We ndio utakuwa umemwelewa mleta uzi
 
Wala usihangaike na ndoa, relax kwanza, kula raha kwanza, baadae utakapo amua kuoa(kuishi na balaa ndani) oa! Watu wasikudanganye, kuishi na mwanamke kwa dunia ya leo ni shubiri, ni balaa!
NAKAZIA
 
Huu mradi wa Ndoa hauna faida hata Mwamposa Hana Mwanamke
Alioa 2008 wakati Hana kitu kipindi hicho mkewe alikuwa mwajiriwa wa bank huko Moshi hivyo walivyozaa mtoto aliekuwa anagharamikia ni huyo mkee hivyo demu akamdharau jamaa Hadi wakatengana jamaa alikomaa na yesu tu mpaka 2016 ndo Mambo yake yakaanza kufunguka kipindi Cha magu hata Kuna tetesi alikuwa anamuombea Sana yeye na familia yake mpaka magu akamweka hapo kawe kwenye huduma hivyo kuanzia 2016 to date huduma yake ndo Mungu akaijenga vyema Sana na ikastawi vizuri tu mpaka Leo anafungua watu wengi Sana na sadaka anayoingiza kwa wiki hii ni Siri yangu Ila ni tajiri Sana Sana Sana na pia baada ya mkewe kuona jamaa katusua ndo alikuwa anajirudisharudisha Ila jamaa kamtolea nje na wameshatalakiana pia waumini wengi na wanawake wengi wanaji gongesha Sana kwake Ila jamaa anawatolea nje jamaa ana principle Sana na alianza kumtafuta Mungu since 1998 amezaliwa 1977 hio ni stori fupi tu ya maisha yake niliyoelezea Ila zingine acha nivunge tu na kwa ninavyoona jamaa hawezi oa Tena maana hamwamini mtu yeyote hasa hao wanawake hajasema Ila kwa experience yangu ndo hivyo
 
Kwa hiyo nisemeje
Mwambie dogo aoe! Huenda baadhi ya Hizo raha anazodai anazipata hata nje ya ndoa ni dhambi. Mfano raha ya ngono. Kama anaipata nje ya ndoa, anazini. Na zinaa ni dhambi. Asije siku akikutata na Mungu wakati wa kiama akasema hatukumwambia.
 
We jamaa yangu sikia hii kituuu.

OA AKIZINGUA ACHA (FANYA HII KITU MPAKA UTAKAPOZEEKA)

MIMI NILIONA UMUHIMU WAKATI NAFANYIWA OPERATION. AISEE MKE ALINISTIRI SANA.

UKIANZA KUUGUA UTAITAMBUA THAMANI YA NDOA
Kwan kila mtu atafanyiwa operation😂Kaka we kama umepitia hivo sawa kivyako,,me niliumwa sana lakin nilihudumiwa na washkaji zangu wa damu hakuna cha mwanamke wala nin
 
We jamaa yangu sikia hii kituuu.

OA AKIZINGUA ACHA (FANYA HII KITU MPAKA UTAKAPOZEEKA)

MIMI NILIONA UMUHIMU WAKATI NAFANYIWA OPERATION. AISEE MKE ALINISTIRI SANA.

UKIANZA KUUGUA UTAITAMBUA THAMANI YA NDOA
[emoji383] talks mzee
 
Tatizo ni kuishi maisha ya kihuni kama hujaoa na yale sio maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…