Sitooa abadan asilan

Sitooa abadan asilan

Sasa wewe Rasterman hujui kwamba mtu wa kwanza kuagiza gari aina ya Hammer kwenye nchi hii ni Zitto Kabwe, au hujui kwamba hana ndoa?

Huamini kwamba Sugu a.k.a Jongwe ni bilionea? Ana ndoa gani yule zaidi ya kula bata tu kwenye hotel yake kule Soko Matola?

Hata kama ni kweli hujawahi ona, hata masikio hayasikii?
Umeandika ujinga kwa ujasiri mkubwa sana.
 
Uraisi wa nchi..
Kuna vyeo nyeti vya usalama wa nchi huwezi kuwekwa bachelor...
Any way hizi sio sababu nguli za kufanya uoe au uolewe mwisho wa siku kila mtu afanye na aonavyo inampendeza...
Ndio katiba inavyo eleza au ?
 
Endeleeni kuzalisha nje badae mje muwaponde humu single mothers wa watu...kuoa au kuolewa utabaki kuwa na heshima yake hata mje maelfu kusema ndoa sio jambo jema..kuna kazi zingine mtazikosa au vyeo mtavikosa kisa tuu huna ndoa ya kisheria.
Tatizo ndoa zinawaondoa wanaume duniani kwa kasi ya Ajabu. That's why to be safe ni bora ukae pembeni uepushe malumbano. Wasiooa wanaishia miaka mingi. Na hawazeeki haraka kama walimu[emoji23][emoji23]
 
Kuoa ni lazima japo dada zangu wa siku wengi kikosi cha mizinga (block 40).

Ila ukimpata anayejua nini maana ya maisha, anajua maisha yana kushuka na kupanda, plus hofu ya Mungu, ukimpata huyo unaweza ukajihisi fesha za BOT ni zako.

Ila tatizo dada zangu sometimes mntufanya tuonekane malaya, unamtongoza demu saa tatu ,saa nne matatizo lukuki anakutajia mpaka unamuogopa, mwisho wa siku unaamua kugonga na kuamsha.
 
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.

Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.

Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.

Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.

Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani

Cha msingi ni kuwa na ela tu.

Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.

Ila kwa sasa BADO SANA.
Kuna mke wa jana namkkuka nim
 
Kuna mke wa jamaaa mmoja nakaza sasa namtishia nataka kumuacha ili nimovi na mambo yangu anatishia kujiua
 
Bado kuna wanawake wanaovumilia kuwa na mwanamme ambaye hana kitu?
Sio kitu wanavumilia hata ambao hata kumridhisha kimwili hawezi lakini wanavumilia tu na kuwa tunzia siri, mwanaume anapita hapo mkanda nje kumbe huko ndani ni bila bila
 
Back
Top Bottom