Sitooa abadan asilan

Sitooa abadan asilan

We jamaa yangu sikia hii kituuu.

OA AKIZINGUA ACHA (FANYA HII KITU MPAKA UTAKAPOZEEKA)

MIMI NILIONA UMUHIMU WAKATI NAFANYIWA OPERATION. AISEE MKE ALINISTIRI SANA.

UKIANZA KUUGUA UTAITAMBUA THAMANI YA NDOA
Hajui huyo!
 
Next generation huendelezwa na sex.
Na sex haina uhusiano wowote na ndoa.

#YNWA
Mkuu mnapokataa kuoa unafikiri mnatunga kizazi cha aina gani?? Emu kaa chini jifikirie

Hivi kweli unaeka image gan kwa wanao? baba mpaka to his late 30's hana mke? Yaan wanacount we muhuni tu huna kitu cha kuwaambia

Ndo inaheshima, unaeza usionne asa hivi umuhimu wake ila ngoja ufike kwa your late 40s, mtoto wako wa kike azalie hapo kwako nyumbani ndo akili zitakukaa sawasawa.
 
Ukiwa na hela utapata wakaukutunza..nadhanj ushauri mzuri ni awe na pesa tu.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna Mama mmoja alikuwa na pesa yake na alikuwa mwajiriwa, nyumba zake 2, aliumwa kumtoa hapo kwa mkoa kumleta hosp wadogo zake walimgomea na pesa ni zake badala yake wakawa wanaenda kuziiba kwenye a/c mpaka alikufa na pesa kaziacha, ndugu sawa lakini na wao wana majukumu yao
 
Kijana Kuoa Ni Muhimu kuliko unavyofikiria.

Kama ww umetoka kwenye familia yenye Baba na Mama, na ukalelewa.
Kwann unataka watoto wako walelewe kiholela?..

Na Kama umetoka kwenye familia ya upande mmoja, najua umepitia changamoto nyingi. Unataka pia watoto wako wapitie Kama ww?..

Ukioa unakuwa na Maono ya kujenga na kutunza Familia.

Utaoa, utawajibika Kama baba, utapanga nyumba(utaacha kukaa gheto), utanunua kiwanja, utajenga, utaanzisha biashara nk nk.

Usipooa Sasa, maisha yako kila mwaka Inakuwa Ni kuhangaika na wanawake, Leo huyu, kesho huyu, miaka na miaka Ni kusuluhisha tu mpenzi.

Utakuwa Mwanaume hopeless kabisa.

Mimi nimeoa Nina miaka 6. Nina maendeleo ambayo naona kabisa ningekuwa mwenyewe Nisingekuwa hapa.

Ustusahwishi kufanya makosa ulofanya mkuu..we pambana nayo kivyako tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu msukumu vip? Kuna mambo ya chumbani sio mambo ya kizungu kuchukuliwa ni shida zile kwenda kutunza vizee huku uarabu na ulaya.
Mambo ya chumbani nayo unayapata vzr tu ukiwa na pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanaume halisi alieumbwa akatimia nikiona ana hamasisha kutokuoa au ana ufikiri wa yeye kutokuoa basi namuona ana tabia za kishoga na soon anataka awe analiwa rinda bila kujulikana kwa mkewe ndo maana wengi now wanapinga kuoa ili wasistukiwe michezo yao.

Ushoga unapenyezwa kwenye jamii kwa njia nyingi sana unaweza sema mtu ana msimamo kumbe hataki kuoa ili awe room ya ushoga kwenye jamii. Hivi mwanaume kamili kabisa akaseme hatooa kamwe unamuelew akweli ? Ukiona mtu hataki kuoa basi hana nguvu na mamlaka ya kumiliki mwanamke hivyo anachosubiri ni apate mwanaume mwenye nguvu na mamlaka awe anamkula marinda kila siku.

Tuupinge ushoga hua unajipenyeza kwenye jamii kwa njia nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mzee Kikwete na Makamba pamoja na uzee wao wanatuzidi akili kwenye hili jambo la kuoa.

Ukiwa rijali vzr lazima use. Kuoa sio issue ngumu
 
Mwanaume halisi alieumbwa akatimia nikiona ana hamasisha kutokuoa au ana ufikiri wa yeye kutokuoa basi namuona ana tabia za kishoga na soon anataka awe analiwa rinda bila kujulikana kwa mkewe ndo maana wengi now wanapinga kuoa ili wasistukiwe michezo yao.

Ushoga unapenyezwa kwenye jamii kwa njia nyingi sana unaweza sema mtu ana msimamo kumbe hataki kuoa ili awe room ya ushoga kwenye jamii. Hivi mwanaume kamili kabisa akaseme hatooa kamwe unamuelew akweli ? Ukiona mtu hataki kuoa basi hana nguvu na mamlaka ya kumiliki mwanamke hivyo anachosubiri ni apate mwanaume mwenye nguvu na mamlaka awe anamkula marinda kila siku.

Tuupinge ushoga hua unajipenyeza kwenye jamii kwa njia nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno na mtazamo wako
 
Mimi ni Mwana ndoa mkongwe, lakini hapa unadanganya watu.

Kuowa au kuolewa siyo lazima ni hiyari ya mtu.

Kuna jamaa yangu mmoja amepitia ndoa ya mateso kiasi kwamba asingetamani tena ndoa, lakini ameondoka kwenye ndoa ya mateso, kamuachia mwanamke na Watoto nyumba na kila kitu, ameondoka na begi tu na Sasa ameowa mwanamke mwingine yuko peace kupitia maelezo.

Issue nzima IPO kwenye kutaka kuowa je unamuowa nani? ni soul mate wako?

Ndoa nyingi zinaharibiwa na majini mahaba na binadamu kwa kukosa maarifa tunashindwa kudeal na hivi vitu mapema.

Sasa utashangaa mwanamke anamnyima unyumba mume wake na wala hana bwana nje, hapo mnashindwa kujiongeza kama nyumba yako imevamiwa na mapepo?
 
Mimi ni Mwana ndoa mkongwe, lakini hapa unadanganya watu.

Kuowa au kuolewa siyo lazima ni hiyari ya mtu.

Kuna jamaa yangu mmoja amepitia ndoa ya mate so kiasi kwamba asingetamani tena ndoa, lakini ameondoka kwenye ndoa ya mate so, kamuachia mwanamke na Watoto nyumba na kila kitu, ameondoka na begi tu na Sasa ameowa mwanamke mwingine yuko peace kupitia maelezo.

Issue nzima IPO kwenye kutaka kuowq je unamuowa nani? ni soul mate wake?

Ndoa nyingi zinaharibiwa na majibu mahaba na binadamu kwa kukosa maarifa tunashindwa kudeal na hivi vitu mapema.

Sasa utashangaa mwanamke anamnyima unyumba mume wake na wala hana bwana nje, hapo mnashindwa kujiongeza kama nyumba yako imevamiwa na mapepo?
Maneno mazur Sana,
Mwenye masikio na asikie[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom