Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hello guys,

Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.

Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.

Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu nizaliwe, sijui kinyenyezi, sijui Matlaba πŸ˜ƒπŸ™ŒπŸΎ

 
Dah.. hapo ningeambuliwa alama chache section C.
 
Mwaka wa nyuma yake nilipiga A ya Kiswahili NECTA ila hiyo ya 2009 ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hakuna kitu nakumbuka hapo,,,,😒😒😒😒
 
Alooo....noma sana hicho kizaramo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli mitihan ya zamani ilikiwa migumu! Sisi wazee wa PCB hatuwez ona kitu hapo! Japo nina A nzito ya kiswahili.
 
Hii thread imenifurahisha kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kiswahili ni ushenz
 
Nilipata C ila ukweli sikuwa nakumbuka kama ilikuwa ngumu au nyepesi ila nilifaulu na kuendelea
Katika kusoma kwangu mtihani mgumu nilikutana nao chuo ambao nilitoka na kusimulia ila mingine hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…