Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hello guys,

Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.

Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli๐Ÿ˜, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.

Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu nizaliwe, sijui kinyenyezi, sijui Matlaba ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Screenshot_20240613-093659.jpg
 
Dah.. hapo ningeambuliwa alama chache section C.
 
Hello guys,

Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.

Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli๐Ÿ˜, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.

Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu nizaliwe, sijui kinyenyezi, sijui Matlaba ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

View attachment 3016146
Mwaka wa nyuma yake nilipiga A ya Kiswahili NECTA ila hiyo ya 2009 ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Hakuna kitu nakumbuka hapo,,,,๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweli mitihan ya zamani ilikiwa migumu! Sisi wazee wa PCB hatuwez ona kitu hapo! Japo nina A nzito ya kiswahili.
 
Hii thread imenifurahisha kinoma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kiswahili ni ushenz
 
Nilipata C ila ukweli sikuwa nakumbuka kama ilikuwa ngumu au nyepesi ila nilifaulu na kuendelea
Katika kusoma kwangu mtihani mgumu nilikutana nao chuo ambao nilitoka na kusimulia ila mingine hapana
 
Back
Top Bottom