Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Hello guys,
Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.
Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli๐, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.
Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu nizaliwe, sijui kinyenyezi, sijui Matlaba ๐๐๐พ