Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.

Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani wakiwa wananipa hi tu pale. Siku moja nimepanda zangu daladala toka Gondolamboto nikashuka zangu Tariano pale, nikaingia bar Ili nipate zangu kinywaji na msosi wakati naendelea kunywa kumbe pembeni yangu alikuwepo jirani yangu mke wa jamaa.

Akanifata akaniomba shemu ukiwa unataka kuondoka naomba tuondoke wote, nikamjibu sawa ila leo pikipiki yangu niliiacha tutachukuwa usafiri, akajibu haina shida.

Muda umefika namwambia twende tukatoka tukaita Bora, kabla hatujafika home akaomba tushuke nikajibu sawa, tukashuka akakojoa tukaanza kutembea kwa miguu. Kumbe alikuwa ashaanza kulewa zake, tukatoka home kila mtu akaenda zake kwake.

Nimeingia home ile najiandaa kulala nasikia kama kuna mtu anagonga mlango nje, ile nafungua tu mtu kazama ndani! Nikamuuliza kuna shida gani, akasema mume wangu hayupo aliondoka jana kwenda Kisarawe.

Nikamuuliza kwahiyo? Akaniambia nakuonaga peke yako hapa nimekuja, basi kufupisha nikamla bila ndom na kesho yake nikamla aisee ndiyo shida ilipoanza. Machine ikaanza kutoa vitu kama usaha hivi, mara nakojoa kwa shida, boxa inaganda vitu kama makamasi hivi na ikavimba, niliteseka sana.

Baada kuona sasa hali inakuwa mbaya nikaenda hospitali, nilipigwa masindano na madawa ya kutosha, nashukuru Mungu sasa hivi nimepona. Tuache ngono zembe, unaweza ukafa kizembe sana na wake za watu tuwaogope sana.
Kapime Ngoma
 
Hivi mnaanzaga kudumbukiza tu pasipo kuikagua? Zenye maambukizi hazina dalili?

Au mpk tuwaelekeze namna ya kuipiga chabo kabla hujaila?
Wauzie hiyo ramani wazee wa kimasikhala watakushukuru baadae.
 
Mwanamke hata awe mzuri kama malaika akishajirahisi kiasi hiko asilani abadani simto**bi, vinginevyo labda uniambie ulikuwa umelewa pombe ikachukua mkondo wake
 
Duh! Usirudie tena...Mytake kwa vijana, msiruhusu wake zenu au wapenzi wenu wakaenda kulewa wakiwa wenyewe, mtawalaumu bure sababu mwisho wa starehe ya ulevi wao ukamilishwa kwa kutoa tunda, hata kimasikhara wanakuwa wapo tiyari.!
Kwani,mwanamke anaeamua kwena baa na kukaa,ana sifa za kuitwa mke wa mtu? Kwanza mwanamke mlevi,ujue umepigwa na kitu kizito. Japo si wote,ila walau kwa waislam hata mwenye maovu,ataficha. Sasa,mwanamke anaenda kukojoa,bia zimepanda anafatwa nyuma au anamkuta mtu,hata hawafahamiani,linainama anachomeka. Jamani,basi tu
 
Back
Top Bottom