Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Kuna watu wanavyompalua mtoa mada utasema wao ni malaika.

Ni kweli jamaa amezingua kutojali afya akienda kufunga loose ball aliyoiokota.

Wanawake wana uwezo wa kukaa na maradhi hasa ya Gono/ UTI hata Kaswende muda mrefu pasipo kuonekana, hivyo hata kama angesema ampime Ngoma isingetosha kumwepusha na hayo mengine.

Labda angevaa Kondom, lakini mkumbuke kuna baadhi ya Wanaume ni wapenzi wa dry anbao wengi ndiyo huangukia kwenye hizo changamoto.

Ili kujiepusha na hizo changamoto ni vyema mtoa mada aoe au apate mpenzi ambaye atamfanya kupunguza tamaa. Mazingira yake yalimfanya ategwe na aanguke kirahisi, angekuwa na mpenzi ndani huyo mke wa mtu asingemu-win jamaa
 
Mkuu yule mke wa mtu Bado mbichi na anakatoto kamoja na ana chura na nilikuwa nimepiga vibia kadhaa na yeye pia na hata alivyokuja sikuwa naogopa alivyoingia ndani ,nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu Acha nijilie mie ,,,kumbe ndiyo najiletea balaa kingine ila nimekoma
 
Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.

Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani wakiwa wananipa hi tu pale. Siku moja nimepanda zangu daladala toka Gondolamboto nikashuka zangu Tariano pale, nikaingia bar Ili nipate zangu kinywaji na msosi wakati naendelea kunywa kumbe pembeni yangu alikuwepo jirani yangu mke wa jamaa.

Akanifata akaniomba shemu ukiwa unataka kuondoka naomba tuondoke wote, nikamjibu sawa ila leo pikipiki yangu niliiacha tutachukuwa usafiri, akajibu haina shida.

Muda umefika namwambia twende tukatoka tukaita Bora, kabla hatujafika home akaomba tushuke nikajibu sawa, tukashuka akakojoa tukaanza kutembea kwa miguu. Kumbe alikuwa ashaanza kulewa zake, tukatoka home kila mtu akaenda zake kwake.

Nimeingia home ile najiandaa kulala nasikia kama kuna mtu anagonga mlango nje, ile nafungua tu mtu kazama ndani! Nikamuuliza kuna shida gani, akasema mume wangu hayupo aliondoka jana kwenda Kisarawe.

Nikamuuliza kwahiyo? Akaniambia nakuonaga peke yako hapa nimekuja, basi kufupisha nikamla bila ndom na kesho yake nikamla aisee ndiyo shida ilipoanza. Machine ikaanza kutoa vitu kama usaha hivi, mara nakojoa kwa shida, boxa inaganda vitu kama makamasi hivi na ikavimba, niliteseka sana.

Baada kuona sasa hali inakuwa mbaya nikaenda hospitali, nilipigwa masindano na madawa ya kutosha, nashukuru Mungu sasa hivi nimepona. Tuache ngono zembe, unaweza ukafa kizembe sana na wake za watu tuwaogope sana.
Jirani mm nilijua unaukorofi kwenye mipaka ya mashaba pekee,kumbe na wake zetu unatukanyigia!?
 
Mke wa mtu anajiles ivo na ni ugenini na wewe unapiga kavu, aisee we jamaa una hatari.
 
sasa itakuwa vizuri umwambie jamaa mwenye mke naye aende yeye na mkewe wakapate matibabu.
 
Mke wa mtu anajiles ivo na ni ugenini na wewe unapiga kavu, aisee we jamaa una hatari.
Mkuu Ile chura kwani mie niliwaza kama atakuwa anaumwa Mimi nilihonga tu plus na bia zilikuwa kichwani nikaichakata sana, ila baada ya siku mbili nikaanza kuchoma masindano
 
Fanya umwambie, maana wanawake wanakaa muda mrefu bila kuonesha dalili za magonjwa ya zinaa

Akirudi Mume wake wote tunajua jamaa lazima apige mzigo na akipiga ni kesho tu nayeye hospital itamuhusu

Mume akija kuambiwa ana Gono, ataambiwa ampeleke na mkewe, itabaki ugomvi kuwa nani kampa mwenzie na mwisho wa siku huyo dada atahisi wewe ndio umempa kwahiyo ni bora umwambie tu
Watajuwana wenyewe huko na mke wake Mimi nishajitibu basi
 
Back
Top Bottom