Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sasa sjui mumewe ana hali gani,kama wewe kuchovya mara moja umekutana na hayo yote
 
Duh! Usirudie tena...Mytake kwa vijana, msiruhusu wake zenu au wapenzi wenu wakaenda kulewa wakiwa wenyewe, mtawalaumu bure sababu mwisho wake starehe yao ukamilishwa kwa kutoa tunda, hata kimasikhara wanakuwa wapo tiyari.!
😁😁😁 Kwani unafikiri huwa hata tunawaruhusu wakalewe wenyewe basi?
Labda umfungie satellite signals 😁😁😁
 
Sasa wewe Akili 2 uliyepiga kimasihara unalia hivi- je mumewe aliyerudi kisarawe akapewa atafanyaje.
Vumilia tu , majority ya wanaume washawahi kuambukizwa Gonno na it is very unfortunate mara nyingi sana mwanamke anaweza akakaa na Gonno lake hata 2 years bila dalili kwake akawa ana-innoculate/sambaza tu kwa wanaume kibao.
Mwanamke mmoja anaweza akaambukiza wanaume hata 100 kabla ya yeye kuwa na dalili zozote.
 
Hapana chezea uterezi wa bure [emoji16][emoji16], Tena umejileta wenyewe. Kuwa makini mkuu, ikiwezekana weka zana nyumbani. Afya ni muhimu mno.
 
Hivi mnaanzaga kudumbukiza tu pasipo kuikagua? Zenye maambukizi hazina dalili?

Au mpk tuwaelekeze namna ya kuipiga chabo kabla hujaila?
Kichwa cha chini kikishataka cha juu hakiwezi jizuia
 
Ila Cha ajabu jamaa, kakwepa gharama za utelezi, kazivagaa gharama za hospital 😅😅
Hii dunia ndio iko hivyo, unaweza kudhani unakula, kumbe wewe ndie unaliwa. Jamaa alijua ni **** ya bure - Mke wa Mtu...Akaambulia maumivu ya Gono - sindano - na pesa za kujitibu. Nina hakika hapo na huyo demu aliondoka na pesa ya supu asubuhi....Hivyo ni maumivu juu ya maumivu.
 
Hapana- Labda condition nyingine Inaitwa Trichomoniasis ndiyo huleta vagina foul smelling (harufu mbaya ya Keyi)
Sawa mkuu. Nadhan na wengine wamejua sasa, sababu ya harufu
 
Sawa mkuu. Nadhan na wengine wamejua sasa, sababu ya harufu
Wengine ni naturally wananuka tu , wengine ni uchafu , wengine ni kuharibika kwa balance ya normal Flora kwa pussy , wengine ndiyo maambukizi ya Trichomoniasis nk

Kwahiyo usigeneralize 😁😁😁
 
Majority ya wanawake hawana dalili na anaweza kuwa hivyo muda mrefu tu akawa anaambukiza vya kutosha 😁😁😁
Sidhani.
Si mnasema once ukiloweka. Kesho yake lazima ukipate kwa upande wenu? Sasa unapokipata unashindwaje kumsanua huyo mtu?
 
Sidhani.
Si mnasema once ukiloweka. Kesho yake lazima ukipate kwa upande wenu? Sasa unapokipata unashindwaje kumsanua huyo mtu?
Mwanaume akiloweka dalili zinaweza kuwa just after 24 hr up to 2 weeks. Na amini nakuambia magonjwa ya zinaa japo miongozo inataka umtibu mgonjwa na wote alioshiriki nao ngono lkn hakuna mgonjwa anayetakaga mlolongo wa kusanua aliyempatia nk (nafikiri wengi wanakuwa na hofu na pili labda Wana wenzi wao wanapambana wasisanukiwe and lastly labda wanakuwa hawataki mambo mengi anajitakia apone tu)- na siku hizi kutibu Gonno ni kazi mno maana mdudu kajenga usugu mno..... Zamani ilikuwa unapiga dozi moja tu kitu tayari-saivi unapiga dawa mchanganyik/cocktails mpaka hata siku 7 😁😁😁
 
Gono huwa ina short term complication na longterm mojawapo ya longterm n urethral stricture jiandae kisaikolojia kushindwa kupitisha mkojo sabab ya kovu lililoachwa na gono,sio lazima itokee ila ukiona ujue ndo sabab tuache ngono zembe.
 
Mwanaume akiloweka dalili zinaweza kuwa just after 24 hr up to 2 weeks. Na amini nakuambia magonjwa ya zinaa japo miongozo inataka umtibu mgonjwa na wote alioshiriki nao ngono lkn hakuna mgonjwa anayetakaga mlolongo wa kusanua aliyempatia nk (nafikiri wengi wanakuwa na hofu na pili labda Wana wenzi wao wanapambana wasisanukiwe and lastly labda wanakuwa hawataki mambo mengi anajitakia apone tu)- na siku hizi kutibu Gonno ni kazi mno maana mdudu kajenga usugu mno..... Zamani ilikuwa unapiga dozi moja tu kitu tayari-saivi unapiga dawa mchanganyik/cocktails mpaka hata siku 7 😁😁😁
Hee basi watu huku wanaleta nyuzi, tunasoma kwamba. Akiloweka leo, kesho anaamka anajojoa usaha 😂😂
Basi na sie non medical dept, tunameza

Jamani fateni miongozo 😂😂 kama huyu mtoa mada aende na manzi wake wakatibiwe wapone wote.
 
Hee basi watu huku wanaleta nyuzi, tunasoma kwamba. Akiloweka leo, kesho anaamka anajojoa usaha 😂😂
Wapo sahihi maana Incubation period kwa Mwanaume ni kuanzia masaa 24 (kesho yake ) mpaka wiki 2.- meaning muda umepata maambukizi mpaka dalili inaangukia time yoyote kati ya siku 1 na siku 14 kwa Mwanaume
 
Mwanaume akiloweka dalili zinaweza kuwa just after 24 hr up to 2 weeks. Na amini nakuambia magonjwa ya zinaa japo miongozo inataka umtibu mgonjwa na wote alioshiriki nao ngono lkn hakuna mgonjwa anayetakaga mlolongo wa kusanua aliyempatia nk (nafikiri wengi wanakuwa na hofu na pili labda Wana wenzi wao wanapambana wasisanukiwe and lastly labda wanakuwa hawataki mambo mengi anajitakia apone tu)- na siku hizi kutibu Gonno ni kazi mno maana mdudu kajenga usugu mno..... Zamani ilikuwa unapiga dozi moja tu kitu tayari-saivi unapiga dawa mchanganyik/cocktails mpaka hata siku 7 😁😁😁
Hivi mkuu sindano za gono huwa zinapigwa kwnye uume pale pale?
 
Back
Top Bottom