Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Kwahiyo lile swali linaenda kwa mleta mada 😅😅Good 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo lile swali linaenda kwa mleta mada 😅😅Good 😅
Mimi nilipuuzia tyu nilijuwa ni Hali ya mda tu ila kadri mda ulivyozidi ndiyo Hali ikawa mbayaIlishanitokea kama wewe.Yan nimepiga jana usiku kesho asubh nakojoa usaha kwa maumivu .wewee!!! Niko kazin hapo natoka saa 10 jion na umbali plus folen za mjini hapa home kuingia saa 4 usiku...mbona sikulala nikafika home nikabeba bima yangu nikarud tena mjini nikamwambia doctor pima kila kitu licha yabuoga wangu wa kupima ngoma.Nikaanza doZi usiku huo huo...jikampigia yule manzi nikampa taarifa na kumshauri akatibiwe na baada ya kukata simu nikampiga block moja hatari..
Niliogopa sana. Sanaa sanaa n it was my first experience n i hope ndio the last one..sitakaa nirudie uchafu ule mimi.
Wewe uliwezaje kusubiri mpaka mashine ivimbe mzee hujipendi kiasi hiko?????
Sirudii Tena Gono na UTI isikie tyu kwa mtu ,sindano zinauma sana zileHiyo ni mojawapo ya sumu nyepesi "kumbuka mke wa mtu ni sumu" ukirudia tena unapata sumu nzito.
Madafaka!!!Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.
Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani wakiwa wananipa hi tu pale. Siku moja nimepanda zangu daladala toka Gondolamboto nikashuka zangu Tariano pale, nikaingia bar Ili nipate zangu kinywaji na msosi wakati naendelea kunywa kumbe pembeni yangu alikuwepo jirani yangu mke wa jamaa.
Akanifata akaniomba shemu ukiwa unataka kuondoka naomba tuondoke wote, nikamjibu sawa ila leo pikipiki yangu niliiacha tutachukuwa usafiri, akajibu haina shida.
Muda umefika namwambia twende tukatoka tukaita Bora, kabla hatujafika home akaomba tushuke nikajibu sawa, tukashuka akakojoa tukaanza kutembea kwa miguu. Kumbe alikuwa ashaanza kulewa zake, tukatoka home kila mtu akaenda zake kwake.
Nimeingia home ile najiandaa kulala nasikia kama kuna mtu anagonga mlango nje, ile nafungua tu mtu kazama ndani! Nikamuuliza kuna shida gani, akasema mume wangu hayupo aliondoka jana kwenda Kisarawe.
Nikamuuliza kwahiyo? Akaniambia nakuonaga peke yako hapa nimekuja, basi kufupisha nikamla bila ndom na kesho yake nikamla aisee ndiyo shida ilipoanza. Machine ikaanza kutoa vitu kama usaha hivi, mara nakojoa kwa shida, boxa inaganda vitu kama makamasi hivi na ikavimba, niliteseka sana.
Baada kuona sasa hali inakuwa mbaya nikaenda hospitali, nilipigwa masindano na madawa ya kutosha, nashukuru Mungu sasa hivi nimepona. Tuache ngono zembe, unaweza ukafa kizembe sana na wake za watu tuwaogope sana.
Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.
Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani wakiwa wananipa hi tu pale. Siku moja nimepanda zangu daladala toka Gondolamboto nikashuka zangu Tariano pale, nikaingia bar Ili nipate zangu kinywaji na msosi wakati naendelea kunywa kumbe pembeni yangu alikuwepo jirani yangu mke wa jamaa.
Akanifata akaniomba shemu ukiwa unataka kuondoka naomba tuondoke wote, nikamjibu sawa ila leo pikipiki yangu niliiacha tutachukuwa usafiri, akajibu haina shida.
Muda umefika namwambia twende tukatoka tukaita Bora, kabla hatujafika home akaomba tushuke nikajibu sawa, tukashuka akakojoa tukaanza kutembea kwa miguu. Kumbe alikuwa ashaanza kulewa zake, tukatoka home kila mtu akaenda zake kwake.
Nimeingia home ile najiandaa kulala nasikia kama kuna mtu anagonga mlango nje, ile nafungua tu mtu kazama ndani! Nikamuuliza kuna shida gani, akasema mume wangu hayupo aliondoka jana kwenda Kisarawe.
Nikamuuliza kwahiyo? Akaniambia nakuonaga peke yako hapa nimekuja, basi kufupisha nikamla bila ndom na kesho yake nikamla aisee ndiyo shida ilipoanza. Machine ikaanza kutoa vitu kama usaha hivi, mara nakojoa kwa shida, boxa inaganda vitu kama makamasi hivi na ikavimba, niliteseka sana.
Baada kuona sasa hali inakuwa mbaya nikaenda hospitali, nilipigwa masindano na madawa ya kutosha, nashukuru Mungu sasa hivi nimepona. Tuache ngono zembe, unaweza ukafa kizembe sana na wake za watu tuwaogope sana.
Usisahau kupima na ngoma mkuu
Mbona vitisho Tena wakuu1: Jehanamu inakungoja kwa hamu
2: Chunguza sana na rudia rudia kupima, gono ya hivyo kupona ni shida sana, na hata ukipona mbegu zako kama ziko hai una bahati sana
AiiseeNakazia ,hili pia akalitizame.
Sorry mkuuMadafaka!!!
Kumbe ndo ukiyenit*mbea mke wangu
AajaahaaaSorry mkuu
Nikajua labda unajua. Maana nyie ndio mnazijua mbususu zenu kuliko sisiIDK.. myb it could be 1 of the symptoms.
sasa kwanini hukumwambia mkatibiwe wote?Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.
Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani wakiwa wananipa hi tu pale. Siku moja nimepanda zangu daladala toka Gondolamboto nikashuka zangu Tariano pale, nikaingia bar Ili nipate zangu kinywaji na msosi wakati naendelea kunywa kumbe pembeni yangu alikuwepo jirani yangu mke wa jamaa.
Akanifata akaniomba shemu ukiwa unataka kuondoka naomba tuondoke wote, nikamjibu sawa ila leo pikipiki yangu niliiacha tutachukuwa usafiri, akajibu haina shida.
Muda umefika namwambia twende tukatoka tukaita Bora, kabla hatujafika home akaomba tushuke nikajibu sawa, tukashuka akakojoa tukaanza kutembea kwa miguu. Kumbe alikuwa ashaanza kulewa zake, tukatoka home kila mtu akaenda zake kwake.
Nimeingia home ile najiandaa kulala nasikia kama kuna mtu anagonga mlango nje, ile nafungua tu mtu kazama ndani! Nikamuuliza kuna shida gani, akasema mume wangu hayupo aliondoka jana kwenda Kisarawe.
Nikamuuliza kwahiyo? Akaniambia nakuonaga peke yako hapa nimekuja, basi kufupisha nikamla bila ndom na kesho yake nikamla aisee ndiyo shida ilipoanza. Machine ikaanza kutoa vitu kama usaha hivi, mara nakojoa kwa shida, boxa inaganda vitu kama makamasi hivi na ikavimba, niliteseka sana.
Baada kuona sasa hali inakuwa mbaya nikaenda hospitali, nilipigwa masindano na madawa ya kutosha, nashukuru Mungu sasa hivi nimepona. Tuache ngono zembe, unaweza ukafa kizembe sana na wake za watu tuwaogope sana.
Aisee.badilika mkuu.Binafsi sipuuziagi any change katika afya.Mimi nilipuuzia tyu nilijuwa ni Hali ya mda tu ila kadri mda ulivyozidi ndiyo Hali ikawa mbaya