Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Sikumwambia mpaka Leo na sijawahi muambia lolote Chapo yeye aliniona nimeblock kabisa sitaki mawasiliano nay
Umefanya vema kumblock, kata mazoea nae kabisa.

Tafuta pisi yako moja safi uwe unajipoozea hapo, uepukane na kimasihara.
 
Hata ukikagua usijiridhishe kwa macho, mkuu fanya mpango uweke pakti kadhaa za ndom ndan sio uhuni ni kujali afya yako. Mimi sikosagi hizo kamwe zipo nyingine mpaka zinaexpire sijazitumia ila bora ziwepo kuliko niuze mechi kizembe
Nashukuru kwa ushauri
 
Asante mkuu ,nishapona saizi na nashukuru Sina Ngoma kabisa
Ilishanitokea kama wewe.Yan nimepiga jana usiku kesho asubh nakojoa usaha kwa maumivu .wewee!!! Niko kazin hapo natoka saa 10 jion na umbali plus folen za mjini hapa home kuingia saa 4 usiku...mbona sikulala nikafika home nikabeba bima yangu nikarud tena mjini nikamwambia doctor pima kila kitu licha yabuoga wangu wa kupima ngoma.Nikaanza doZi usiku huo huo...jikampigia yule manzi nikampa taarifa na kumshauri akatibiwe na baada ya kukata simu nikampiga block moja hatari..

Niliogopa sana. Sanaa sanaa n it was my first experience n i hope ndio the last one..sitakaa nirudie uchafu ule mimi.

Wewe uliwezaje kusubiri mpaka mashine ivimbe mzee hujipendi kiasi hiko?????
 
Back
Top Bottom