Uboboh
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 307
- 904
🖕Nani snitch nigger tumfanye mbaya aki..🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕Nani snitch nigger tumfanye mbaya aki..🤣🤣
He is the man you broke his heartAsante kwa mualiko bestie.
Mungu bado anataka kukutumia ndio maana hujawa mmoja wa wale waliofariki.
Huu ni ushuhuda mkubwa
nimecheka sana kama fwala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nina maisha marefu sana
Hapo himo mkienda bar mna mapanga viunoni,vull vurugu kama wakenyaKuna mwana hapa kijiji anaitwa Deo Lyimo amukula chuma Ile siku ya May mosi
Walikuwa wametoka msibani wakasema ngoja waingie bar wale safar mbil 2 then ndio watembee mm mkawaimbia naumwa siwez kula pombe
Mkawasha bike yangu huyo nkatembea,nimefika home tu napigiwa simu washikaji zako huk wamekufa
Kumbe bwana ,baada ya kulewa wakawa wamepakizan Kwa bike wakati wapo njiani jamaa na gar yake akawa akawa kama anatak kuwagonga
Jamaa akaapita na gar wakamuwah Kwa mbele na pikipk wakamblock wanatka kumletea vurugu
Jamaa kazama ndan ya gar katoa chuma akataka kupiga juu but sabab ya ulevi ikamshinda nguv akamfikia jamaa yangu Deo Kwa kifua chuma ikamfumua mapafu yote,yule mwingn baada ya kuskia mlio akazimia
Majuz ndio tumemzika
Wachana na mtu wenye silaha ya aina yeyote hasa akiwa na hasira
...Toka Mwaka 2007, Umelikumbuka Leo na kuja kutusimulia humu?? Unatuona Wajina ee ??Habari wanajamii,
Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika.
Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands au kwa zena, maeneo hayo kuna bar maarufu sana inafahamika kwa jina la highbury hapo ndipo lilikua eneo langu la kupumzisha akili baada ya mihangaiko ya kutwa nzima.
Siku hiyo ilikua ni mapumziko na ilikua ni jumapili nilitoka jioni na kuelekea kwenye hilo chimbo kumwagilia moyo na kampani ya wadau kadhaa kama ilivyokuwa kawaida yetu kujumika pamoja na kupata viburudisho kadhaa na kujiopolea warembo katika bar hiyo na walikua wazuri kweli kweli, Sasa wakati tukiendelea kumwagilia moyo hapo mdaa uliendelea kusonga hadi ilipofika majira ya saa nne(4) usiku ziliingia gari mbili aina ya land cruiser nyeusi na walishuka mababiloni nane(8) wakiwa wamevalia makoti marefu meusi na kofia aina ya Pama huku wakiwa wamefunika nyuso zao na walishikilia silaha aina ya mtutu(A.K.A 47) ghafla ulisikika mlio mkali wa risasi mbili zilizopigwa hewani na kuamuru watu wote tulale chini na tutoe kila tulichonacho tuweke pembeni, Sasa mimi wakati wa hamaki zikiendelea na purukushani za watu kujihami na vurumai zile nikaona nikimbilie counter kwakuwa nilijua kuna mlango wa nyuma nilifanikiwa ila huu ndio ungelikua mwisho wangu wa maisha kwani kati ya wale majambazi alifyatua risasi iliyonikosakosa usawa wa kichwa na kwenda kupiga nguzo za counter na kuacha tundu(shimo) kubwa sana.
Nashukuru nilifanikiwa kuokoa maisha yangu siku hiyo maana ilikua ni hatari sana hata kupelekea wahudumu wawili kufariki palepale baada ya kupigwa na risasi siku hiyo na baadhi ya wateja waling’olewa meno kwa kupigwa na vitako vya mtutu wakati wa uporwaji wa mali walizokua nazo siku hiyo.
Hili tukio sitakuja kulisahau maishani mwangu kabisa na huwa namshukuru mungu kwa ujasiri alionipa siku hiyo.
Bora waseme tu, yaani unahatarisha uhai wako kisa kuwaridhisha polisi mbona wao wenyewe kuna matukio ya ujambazi wanapigiwa simu waje ila wanachelewa makusudi?Tatizo wako chukua kwa rahisi polisi wanasema umesaidiana nao
🤣😂😂😂He is the man you broke his heart
after you broke his heart he went crazy and walked naked for a while
He then came in front of a mirror after he was himself sadly he came to realize his old self
now he is back in the steet of jf trying to seduce you again with another ID 😀
Uuuh mbona hatariHabari wanajamii,
Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika.
Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands au kwa zena, maeneo hayo kuna bar maarufu sana inafahamika kwa jina la highbury hapo ndipo lilikua eneo langu la kupumzisha akili baada ya mihangaiko ya kutwa nzima.
Siku hiyo ilikua ni mapumziko na ilikua ni jumapili nilitoka jioni na kuelekea kwenye hilo chimbo kumwagilia moyo na kampani ya wadau kadhaa kama ilivyokuwa kawaida yetu kujumika pamoja na kupata viburudisho kadhaa na kujiopolea warembo katika bar hiyo na walikua wazuri kweli kweli, Sasa wakati tukiendelea kumwagilia moyo hapo mdaa uliendelea kusonga hadi ilipofika majira ya saa nne(4) usiku ziliingia gari mbili aina ya land cruiser nyeusi na walishuka mababiloni nane(8) wakiwa wamevalia makoti marefu meusi na kofia aina ya Pama huku wakiwa wamefunika nyuso zao na walishikilia silaha aina ya mtutu(A.K.A 47) ghafla ulisikika mlio mkali wa risasi mbili zilizopigwa hewani na kuamuru watu wote tulale chini na tutoe kila tulichonacho tuweke pembeni, Sasa mimi wakati wa hamaki zikiendelea na purukushani za watu kujihami na vurumai zile nikaona nikimbilie counter kwakuwa nilijua kuna mlango wa nyuma nilifanikiwa ila huu ndio ungelikua mwisho wangu wa maisha kwani kati ya wale majambazi alifyatua risasi iliyonikosakosa usawa wa kichwa na kwenda kupiga nguzo za counter na kuacha tundu(shimo) kubwa sana.
Nashukuru nilifanikiwa kuokoa maisha yangu siku hiyo maana ilikua ni hatari sana hata kupelekea wahudumu wawili kufariki palepale baada ya kupigwa na risasi siku hiyo na baadhi ya wateja waling’olewa meno kwa kupigwa na vitako vya mtutu wakati wa uporwaji wa mali walizokua nazo siku hiyo.
Hili tukio sitakuja kulisahau maishani mwangu kabisa na huwa namshukuru mungu kwa ujasiri alionipa siku hiyo.
Whaat!!have been at kijiji forum I told you that
hah you did broke his heart I ended up giving him a ban too there at kijiji as he mentioned your name so many times
Ahsante sana!Asante kwa mualiko bestie.
Mungu bado anataka kukutumia ndio maana hujawa mmoja wa wale waliofariki.
Huu ni ushuhuda mkubwa
Punguza makasiriko kijana Jeiefu haiitaji hasira 🤣🤣🤣
Unamatatizo ndugu 🤣🤣🤣He is the man you broke his heart
after you broke his heart he went crazy and walked naked for a while
He then came in front of a mirror after he was himself sadly he came to realize his old self
now he is back in the steet of jf trying to seduce you again with another ID 😀
Don’t listen to that idiot..🤣😂😂😂
I know but
I broke nobody's heart jamani😭.
Where have you bn to bro?
Ukamilifu bado haupo maishani pasipo matukio...Uuuh mbona hatari
Shukrani sana mkuu..Pole sana kaka,,
Haha invite her where ? I am too wise for this shit niggerDon’t listen to that idiot..
My heart is already healed and I do move on So worry out and be happy as usually bestie..
If you don’t mind, I would like to invite you somewhere..🥺🥺🥺