Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
[emoji23][emoji23][emoji23]yu wapi kijana wa mihangaiko ya kilwa?
mpwayungu village i call upon you...
mpwayungu village i call upon you...
mpwayungu village kuya mara moyaaa...
kuyaaa.. kuyaaa... kuyaaa hapa mara moyaa
Mkuu ipo.Lindi kuna dhahabu.??nieleweshe vzr mana ndio nasikia leo hii taarifa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama siyo ya kweli,umelazimishwa kuisoma?
Na hili ndio tatizo letu hatupendi kudadisi ukweli ..kwani kuna shida gani angesema hii story ni fiction kuna mtu angemlaumu?Kama siyo ya kweli,umelazimishwa kuisoma?
Amini usiamini sehemu nyingi alizotaja kwa majina hadi vijijini huko Chinongwe hajabuni ni sahihi.Mwandishi ana power of imagination na kuhadithia situation.
Hadithi nzuri.
😂😂😂SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Basi baada ya kina Kidagaa na bosi zake kuondoka, nikaona isiwe tabu kwa vile njia naijua nikaanza kutembea kufuata uelekeo wa lile basi lilipopita huku nikiangalia alama za matariri ya basi la MACHINGA ili nisije kupotea. Niliendelea na safari kwa muda wa masaa matano bila kupumzika na begi langu la nguo likiwa kichwani. NIkapita sehemu nikakuta wanacheza prutable. Kiukweli walinishangaa sana wale wacheza prutable lakini mimi sikuwajali nikaendelea na safari yangu huku begi lipo kichwani.
Kufika mbele kidogo giza lilishaanza kuingia nikaona hapa sina jinsi itabidi tu nitafute mti nilale juu. Na wakati huo njaa inauma kweri kweri. Sasa wakati najadili jinsi gani nitapata chakula na mti wa kulala, nikaona kwa mbali taa za gari. Ikumbukwe giza lilikuwa tayari lishaingia na mimi lengo langu lilikua nifike Lindi Mjini ili kesho niende Mlandizi kwa rafiki ake baba. Nikaona ngoja nilipungie ili gari linaweza kunisaidia kufika Lindi Mjini. Gari ile ikakairbia na kweli ikasimama. Ilikua ni Nissan Hardbody. Aliekua kwenye gari akashusha vioo vya gari nikaweza kumuona vizuri, dah huwezi amini alikua ni Yule mwarabu wa basi la MACHINGA alienirudishia nauli na kunikataza nisipande ile costa yao. Pembeni ya mwarabu alikua Kidagaa. Yule mwarabu akanitukana na kuniambia nitafia porini kwa sabu ya ujuaji wangu kisha akapandisha vioo na nikamsikia Kidagaa anasema IMEISHA HIYO, gari likatimua vumbi.
Kiukweli nilichoka sana na kuanza kujilaumu huu ujuaji unaniponza kwa kweli sasa nitafia kweli kwenye miji ya watu.
Itaendelea ………………………….
Ni kweli mkuu kama amebuni story but hivyo vijiji na sehem zake ni sahihi kabisaAmini usiamini sehemu nyingi alizotaja kwa majina hadi vijijini huko Chinongwe hajabuni ni sahihi.
Kama amebuni basi kweli amepita huko kote na anakujua vizuri.
Nakubaliana na wewe, ila hijaitaje Nangurukurulu, njia panda ya kwenda Kilwa.Amini usiamini sehemu nyingi alizotaja kwa majina hadi vijijini huko Chinongwe hajabuni ni sahihi.
Kama amebuni basi kweli amepita huko kote na anakujua vizuri.
Bado hii sio hoja kwa sababu hii stori imemtokea 2020 akiwa tayari kamaliza form 6.kwenye uzi kasema kamaliza form 6 na humu anasema yuko darasaniView attachment 2230030
Kwenye stori anasema amesoma na mshkaji primary kamaliza 2006 so it means kaanza 1999.
Vijiji gani kuna hayo machimbo ya dhahabu.?Mkuu ipo.
Marehemu Mengi alikuwa na kampuni ya madini inamiliki Property (vitalu) vya kutosha huko.
Kuna watu toka kanda ya ziwa kibao wamelowea huko, wachimbaji wadogo wadogo.