Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Yap ndo nawashangaa wanaoifananisha na Arusha, mwenyew nakumbuka cyo nafka njombe ile barid sio poa afu wenyeji wakaniambia huu sio msimu wa baridi man inaanzia mwez wa 6 adi nkajiulza watu wa huku wanaishije
 
Hapana kiongozi acha tu maana humu Kuna watu wanajiona ni mataita wakudadisi nakunya distinction ya kipi cha ukweli na kipi cha uongo basi mm nimewapa fursa hiyo wachunguze..
Wewe hebu kafie mbele huko na ma-uongo yako.

Eti darasa la saba 1992.

Halafu form six 2020.

Hivi unajua mtu aliyemaliza STD VII 1992 sasa hivi ana mvi mpaka matakoni?

We unazo hauna?
 
Wewe nae kama pompoma tu.
 
Ok,nimekuelewa umeandika kwa hisia sana

Pia nisamehe kwa yaliyojitokeza mkuu
Tulizaliwa,kwa Sasa tunaishi na tutakufa siku moja,

Katikati ya kuzaliwa na kufa Kuna mengi tunapitia wewe Ukiwa mmojawapo
Wewe mpuuuzi unajifanya mjuaji wa kila kitu,unadhani wewe mkewe unaishi nae???.
Haya maisha kila mtu anapitia yake,kama ukiona chai tafuta mengine ufanye sio kuleta ujuaji mbele ya wanaume
 
Asante sana kwa muongozo..na je zina hila? na dhahabu zao niza vikole ama?

Mana mwezi wa7 nataka nielekee huko nikafanye survey.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Zina hila mkuu...kama sahiv maeneo ya lupota nachingwea mkanda umewaka, a huko namachima karibu na namungo.....Zipo zote dhahabu za aina zote za vumbi/mlenda na za vikole
 
Mleta uzi nilikuwa nakuamin Sana stor yako na isitoshe maeneo meng umeyataja nayafaham man ndo hme Lindi Sasa naanza kuwaza tfaut kidg 7bu Kam uliweza kuvumilia hayo yte utashindwaje kustahimili maneno ya waliopinga adi ususe na ni wachache Mana wengn naona Wana uhitaji muendelezo Sasa naanza kupata shaka kdg Kam kwel umesusa kuendelea na uzi
 
Tumia akili. Mleta mada hana mpya tena.
 

hii kweli mm nilimwamini mwanzo ila matukio ya mfululizo ya mateso bila kupumua yakaanza kunipa alert kuwa huu ni utunzi, maisha yana misukosuko lkn kuna kupumua pia[emoji2], sio hii kila siku kila saa ni visa tu, lkn hadithi yake ni nzuri, mimi napenda simulizi kwa hiyo nime enjoy.
 
Nimeishia sehemu ya 4 nimeona hii ni Chai haiingii akilini jamaa kukusubir chini ya uvungu wa Basi una kipi kikubwa [emoji53][emoji53][emoji53] halafu begi lako lilikua ni zito sana km ulivyonadi uliwezaje kukimbia vile, pia wakati wanataka kukutia kisu cha Jicho begi walikuwa nalo wao na waliona vyeti uliwezaje kupata muda wa kufunga begi na kukimbia?
 
Bora umeishia huko maana huku mbele jamaa kasusa kuendelea kwa sababu hataki kukosolewa..
 

Huyu katolewa group whatsApp alikokua anatoa story. Hajapitia ata dakika 2 za story yake
 
Mimi nilihisi tu huyu jamaa ataishia njiani. Maana kuna watu unahadithia jambo lako lakini yeye anawashwa kama vile amekalia upupu.

Mara muongo, Mara chai, Mara hivi hawatosheki wakiandika hapa wanaenda mpka pm. Sijui nini huwa kinatokea kwa hawa wadau wa JF.

Ushauri ikiletwa story ya MTU iwe uongo au kweli, tulia usome hadithi yote ili upate mikasa na ujifunze hata ikiwa uongo huvunjiki mguu. Huwezi, usisome ondoka sio kujaza uchafu kwenye Uzi WA mwezako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…