Nilichogundua kuhusu mpwayungu village,
_Ni mtu mwenye maisha ya wastani si magumu wala so mazuri sana
_Ni mtu mzima kiasi, yaani kijana aliyekomaa,tofauti na umri anaotuaminisha
_Kazunguka kiasi mikoa mbalimbali na kupiga kambi ya muda mrefu
_hajafika advance kama anavyodai,bali ana form four fulani ya kuzugia
_Mkasa kuhusu hii hadithi yake ni imagination,kaunganisha Dot's tu
_yaani kifupi sehemu zote alizotaja aliwahi kufika tena kwa shughuli zingine
_nimejaribu kufukua nyuzi zake nyingi
Yaani haziendani na matukio yake mengi Uzi huu ,yupo chuo,Uzi huu kaishia form six,uzi huu kamaliza shule ya msingi 1992 yaani fujo tupu
Yote kwa yote hadithi yake imeishia hapo,
Maana Kama ni mateso yalianzia baada ya kufukuzwa na friend mate au roommate wake,
Kisha akaelekea mbagala kuianza Safari ya kuelekea kusini
Uzuri kipande hiki kapangilia vizuri sana Hadi pale aliponunua samaki kule somanga na kugundua hela zote kapoteza
Akaharibu baada ya kufika kilwa masoko ambapo Kuna vibaka wakawa wanataka kumpora
Shots Kati ya yeye na vibaka hapa alituuza, haiwezekani vibaka wang'ang'anie mtu mmoja, vibaka hawapo hivyo
Hadithi hii angekuja na I'd mpya ingekuwa tamu zaidi hata Kama ni ya kufikirika.