Kwahiyo unataka aandike non stop bila kukatisha?Hii story ni nzuri ila umeanza kuiharibu hapo kwenye "itaendelea" story nyingi huwa zinakuwa bored hapo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] siuacheHapo kwenye kupoteza Wallet machozi yameanza kunitoka. Usimalizie ishia hapa hapa
Kasome tu kahadithi ka uongo katamu kweli!Nimesoma soma kidogo, nitarudi
Pongezi ziende kwa wazazi au baba zao waliopambana kuhakikisha hawapitii shida za namna hii maana kupita kwenye shida sio sifa ya kujivunia.Maisha ni safari ndefu sana, watoto wa masaki hawaelewi hii kitu.
Kwa hiyo umecomment ili upate notifications!!!?Naifuatilia