Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Tupo wengiKwa hiyo umecomment ili upate notifications!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengiKwa hiyo umecomment ili upate notifications!!!?
Hilo vazi la mashine bei ngapi?!Tumejaa kupata burdan na simuliziView attachment 2225342
Hayo yangewezekana kama asingekuwa na haraka..Kwenye kuuza simu ungemuambia dalali wewe unataka Tsh 90,000 net. Atie cha juu amshawishi mteja akinunua hiko cha juu ndo chake. Mfano kama alitaka Tsh 20,000 basi angemshawishi huyo Dada kwa Tsh 110,000.
Wewe ungeondoka na Tsh 90,000 na yeye angeondoka na Tsh 20,000.
Simple!
Aisee hiki kisa chako kinasisimua sana-------SEHEMU YA NNE -------
Kile kijamaa kigomvi ambacho kilikuja na pikipiki ambayo haina hata plate number kilirarua sana moyo wangu maana hakana huruma kabisa na sikujua kuwa unyama wa namna hii upo mpaka wilayani, wale majamaa wenzake wawili kipindi wanakagua begi langu walipoona vyeti kile kijamaa kwa hasira kikasema chukueni vyeti pesa atatoa tu. Ndoile ukirusha punje za mtama kuku atajileta mwenyewe, kimoyomoyo nikasema ningekuwa na Ile wallet yenye pesa hata nisingefikia huku maana ningekuwa gest saizi nimekoroma lakini kwa kuwa imetokea acha nipambane nao. Walitaka kuchukua begi nikasema begi halitoki halafu hamjui nilikotoka, kwa hasira kile kijamaa ghafla nikaona kamesogeza kisu kikali karibu na mboni ya jicho langu. Kumbuka haya yote yanatokea Tupo pembezoni mwa barabara pia ni karibu sana na stend almost hatua kama 20 au 25 upo stend, akiwa ameweka kisu nikasikia kerere za wadada wakiwa wanakuja upande wetu huku wameongozana na wanaume wakitukanana sikuweza hata kuwatazama maana nipo kwenye mtego wa kisu nikileta tu utani yatakuwa mengine. Wale washikaji wakamwambia jamaa oya toa kisu ngoja hawa wapite maana wakuda sana ISHU nzito hii. Kile kijamaa nikaona kanasema kwa sauti ya kufinya achia begi vinginevyo wakipita tu una kisu cha jicho tunaondoka ukiwa kipofu. Ukweli ni kuwa ningekuwa hata na laki hawa majamaa ningewapa maana sikujua Kuna watu wanajua kutisha kiasi hiki. Wale mademu kumbe walitoka disco na majamaa yakaenda kuwafyatua vichakani maana walipofika tu karibu na tulipokuwa kidada flani kilisema mumetulaza kwenye majani siku kama hamna pesa ya gesti hatuendi maana mpaka ngozi inawasha. Sasa wamefika pale kwetu jamaa mmoja miongoni mwa wale mademu akasema oyaaaa mazee inakuwaje wale vibaka wakasema poa Sasa ikabidi waende kuwasalimia mademu japo wapo mita moja na tulipo sisi. Ile wanaenda tu ndoulikuwa upenyo wangu nilitoka nduki husen bolt cha mtoto nikawa nakimbia kuelekea pale stend majamaa yakasema kwa nguvu oyaaaa huyu mwizi nini sasa sikujua waliongea vipi nikaona kikosi chote na wale mademu wanakuja nilipo. Nikajipa moyo huku roho inadunda zaidi ya aliyechana Quran akakamatwa na talibani,nikasema bora wakija wengi mwenye huruma atapatikana. Kipindi wanakaribia kufika maana nilibaki nimesimama kwenye bus nililokuja nalo nikasikia mlango wa ofisi za Mashalah yaani booking office unafunguliwa kwiiiiii.
Nilipoona mlango tu hata sikuuliza niliingia mazima mpaka yule mlinzi akachukua panga lake kali kwa muonekano akasema chini ya ulinzi wewe nani umeingia kama unakimbizwa, Ile anauliza kutazama huku na kule wale majamaa sikuona hata mmoja. Nikawaza kulikoni wale watu wamepotea Kuna nini hapa au nesi kaolewa na muuza majeneza. Yule mlinzi nikamjibu kuwa nilikuja na hili bus lenu kutoka Dar Es Salaam nilipofika sikuwa na sehemu ya kwenda huku kilwa masoko mimi ni mgeni kwa hiyo nimekutana na vibaka Walitaka kunijeruhi. Yule mlinzi alikuwa anatetemeka sana huenda alikuwa hajiamini kuwa yupo Mahali salama, akaniamuru nitoke ndani mm nikasema naomba niwe humu ndani nje Kuna vibaka. Huyu mlinzi kwa kweli roho mbaya imemkaa alitishia kuniitia mwizi naukizingatia mle Kuna mizigo ya abiria maana ni booking office. Nilipotoka nje nikamwambia kaka samahani tiketi niliyokuja nayo hii hapa kama huniamn akajibu kwa hasira sisi tumekufikisha ulipostahili hayo mengine hayatuhusu.
Akatazama saa yake kwenye simu ya bontel akasema kwa sauti saizi saa tisa usiku upo mitaa ya watu kama wewe sio Jambazi tukueleweje. Kwa kuwa hakuwa mwelewa mm nilichagua kukaa kimya, kumbe pale nje ya office sikuona vizuri mwanzo kumbe Kuna lijamaa limelala pale kazi yake huwa nikutoa mizigo iliyopo ofisini na kuingiza pia. Hili lijamaa lilikuwa limelewa Sasa yale makerere ya mlinzi yakafanya liamke. Lilipoamka break ya kwanza ilikuwa ni matusi nilipigwa matusi ya maana huku likisema hawa vibaka Leo nauna akabeba gogo flani hivi ghafla yule mlinzi akalipokonya na yule mlinzi akasema kwa nguvu niondoke maeneo hayo. Ni saa tisa usiku mabega yote ya moto begi Zito, njaa, baridi inapukuta, msongo wa mawazo, Sina simu, Sina ninaemjua, natishiwa kupigwa yaani huu mda nilimwonea wivu aliefariki kuliko niliehai maana ilikuwa ni taabu tupu.
Mlinzi aliponifukuza mm nikaenda kujificha nyuma ya lile bus, Ile nimechuchumaa wasijue kuwa bado nipo mazingira hayo kumbe kwenye uvungu wa bus ndohawa vibaka walipoenda kujificha japo sikuona wale wasichana itakuwa waliwaambia waondoke wataharibu mipango. Sasa Ile nimechuchumaa tu nikaona majamaa yametoka natazama hayo yamo mbele yangu mengine nyuma. Sasa mda huu nilijaa na upepo wa hasira moyoni nikasema mwehu mmoja jiloge uguse hili begi tutavunjana na hakuna atakae toka salama.
--------inaendelea------
Nasubiri sehemu ya tano-------SEHEMU YA NNE -------

Samahani nipo nje ya mada ...hawa ni watu toma mkoa gani hapa TanzaniaTumejaa kupata burdan na simuliziView attachment 2225342
Mshukuru mungu hapo ulipo, nimepitia mazito kakaSimulizi inahuzunisha. Nina swali kwako Ndugu msimuliaji mpwayungu village ; Je, hii ni simulizi ya kweli au ni ya kubuni?
Hao ni wa marekani red indiesSamahani nipo nje ya mada ...hawa ni watu toma mkoa gani hapa tz
Mkuu mbona umeamua kuanika namba ya simu ya Henry?Tumejaa kupata burdan na simuliziView attachment 2225342
Pole sanaMshukuru mungu hapo ulipo, nimepitia mazito kaka
Mkuu tafuta na ile nyingine ameenda Bar na dada zake wakaagiza savanahJamaa punguza usaniiView attachment 2226121