Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Inaonekana watu wa huko wana roho mbaya nyoka afadhali
 
Mkuu, one day uje uifungukie hii habar A to Z, kuanzia safar yako ya kwenda huko na Nini kilikukuta ukaamua kurudi!
 
Kuna nyakati zingine maishani unaweza hisi umelogwa!
Sana Tu dada yangu ,hata mm nnastory yangu wilaya hii hii yakilwa nawaza niilete hapa au vipi Naona kama SINA uwezo wa kusimulia Ila anaposimulia msimulizi,kilwa kivinje,kilwa masoko, nangurukuru,we Acha Tu,unaweza his umerogwa ilandio maisha Tu.
 
Jitahidi utusimulie kwa vile Ni true story itaflow tu....pole Sana mapito wengi tumepitia japo kwa story tofauti
 
yu wapi kijana wa mihangaiko ya kilwa?

mpwayungu village i call upon you...
mpwayungu village i call upon you...
mpwayungu village kuya mara moyaaa...

kuyaaa.. kuyaaa... kuyaaa hapa mara moyaa
Torvic bana
 
Dah the Monk kumbe ni wewe? Unajua nimesoma comment bila kujua baadaye nikashtuka dah. Pole Sana comrade. Ila Kwanini umebadilisha avatar picha zako za real Monk nilitaka nikupite hivi hivi. Ama iyo umeweka Sasa hivi kwa muda kumuomboleza bibi?

Nakumbuka Toka 2018 unanitia moyo Sana kwenye nyuzi zangu humu za safari zangu za kusaka kuwa dollar millionaires.

You seems to be a very humble honest person. Hii nikulingana na comments zako na reply kwenye nyuzi za watu humu.

Kuna siku ulinishauri humu kwa utulivu na unyenyekevu nisimjibu member flani kwa lugha mbaya ya matusi. Tangu siku iyo the Monk you had a permanent respect from me.

Rudisha avatar picha za real Monk.

Respect!
 
Nashukuru sana ndugu yangu Maghayo , Kwa heshima Yako ntairudisha Avatar ya The Monk, hiyo nimeweka hapo ni yangu halisi.

Sidhani nna stahili hizo sifa umenimwaga ila nashukuru sana kaka, ubarikiwe.

Ukishagundua kwamba maisha ni mafupi, tulikua bila kitu na tutaondoka bila kitu, Haina budi kuwa mnyenyekevu. Lakini haimaanishi pia uwe mjinga watu wakupandie kichwani.

Safari yetu ya kuwa millionaire usiliache kamwe, endelea kutamka hivyo hivyo Kila siku hata kama imebaki na pesa ndogo kiasi Gani, waza kama millionaire.

Mungu aendelee kukutunza na afanikishe mipango Yako.

Shida huyu mpwayungu village alikatisha story yetu siku hizi anatupiga na safari za kidijitali...
Ila snatupa burudani ya aina yake.
 
Mi nimetembea umbali mrefu Sana kutoka mawengi mpk mlangali sio umbali wa kitoto
Ila shida nyingne za kujitafutia ....aisee
 
Mi nimetembea umbali mrefu Sana kutoka mawengi mpk mlangali sio umbali wa kitoto
Ila shida nyingne za kujitafutia ....aisee
Dah! Kuna jamaa yangu alitembea kwa mguu kutoka Ludewa Mjini mpaka Mlangali kwa siku 2 na anasema alinyosha barabara tu. kipindi hicho alikuwa anasoma Chief Kidulile Ludewa, sasa akawa na changamoto za uchumi zilizomlazimu kutembea.
 
Aah! Kile kipande sio pouwa mi nilikuw kule 2015 nilikuw Nina kamradi kakuchan mbao so miti naifuata lugarawa, mawengi,mlangali,ulayasi ya ludewa nimezunguka Kuna mwnyej wa kule nilimpata alikuw ananitembez kote Huko
Kule usafiri unawez kukufany utembee kwa kipind kile mabasi ya kuvizia likipita moja asubuhi mpk usiku Tena
Kipind kile deo filikunjombe akafa kweny kampen na helikopta, ludewa ilikuw kmya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…