Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Nafatilia kwa ukaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja siku ukiwa kwenye majanga ndio utaona hizo option vizuriNimejikuta nina maswali mengi any way ngoja niendelee kusikiliza simulizi .... maana naona option zakufanya zipo nyingi why ujitese na kujifhalilisha kiasi hicho
Huyu bwana si ndiye aliye kuwa ana mla KUMBU mtoto wa kizulu au nimechanganya ma desa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf [emoji119]Umemsahau HOLY HOLM na mkaka wa mzee Nchibaronda
Lindi kuna dhahabu.?? Nieleweshe vizuri mana ndio nasikia leo hii taarifa.Daaaah mkuu umenikumbusha mbali sana,niliwahi kulala nje hapo kilwa kivinje ,karibu na bandari,bahati nzuri nikipata sapoti ya Mzee flan mvuvi alikuwa anasubiri mashua ya kwenda mafia,kipindi hicho nilikuwa natoka kuchimba dhahabu na safaya mbwenkulu,Lindi ndani ndani ,napakumbuka Mangaka,masasi,Lindi ,kilwa,kwa bahati nzuri kesho yake nilipata lift ya roli la sementi nikafanikiwa kurudi daa,mazingira ya huko ni magumu sana ikiwa mgeni
Na mimi.Hpa naweka kijiwe View attachment 2225890
Ipo mkuu kweli pori la akiba Mbwenkulu, hata kwa kina kassim pia wanachimbaLindi kuna dhahabu.??nieleweshe vzr mana ndio nasikia leo hii taarifa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Et bodaboda akauliza unaenda nikasema siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]Eti Simanzi zaidi ya maiti aliyefufuka kaburini,Hana msaada itabidi aendelee kufariki tu
Inawezekana huko anakuzungumzia ndo kwao kwa hiyo anajua maeneo yote, stori ya uongo hii😆😆kwa kutaja majina ya shule nimeanza amini hii stori