Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525

Huu ndio uandishi wako tunauona jf ule mwingine wa kwenye story sio wewe.

Endelea na story umesema ipo sehemu hadi ya 25
 
Nilichogundua kuhusu mpwayungu village,

_Ni mtu mwenye maisha ya wastani si magumu wala so mazuri sana

_Ni mtu mzima kiasi, yaani kijana aliyekomaa,tofauti na umri anaotuaminisha

_Kazunguka kiasi mikoa mbalimbali na kupiga kambi ya muda mrefu

_hajafika advance kama anavyodai,bali ana form four fulani ya kuzugia

_Mkasa kuhusu hii hadithi yake ni imagination,kaunganisha Dot's tu

_yaani kifupi sehemu zote alizotaja aliwahi kufika tena kwa shughuli zingine

_nimejaribu kufukua nyuzi zake nyingi
Yaani haziendani na matukio yake mengi Uzi huu ,yupo chuo,Uzi huu kaishia form six,uzi huu kamaliza shule ya msingi 1992 yaani fujo tupu

Yote kwa yote hadithi yake imeishia hapo,

Maana Kama ni mateso yalianzia baada ya kufukuzwa na friend mate au roommate wake,

Kisha akaelekea mbagala kuianza Safari ya kuelekea kusini

Uzuri kipande hiki kapangilia vizuri sana Hadi pale aliponunua samaki kule somanga na kugundua hela zote kapoteza

Akaharibu baada ya kufika kilwa masoko ambapo Kuna vibaka wakawa wanataka kumpora

Shots Kati ya yeye na vibaka hapa alituuza, haiwezekani vibaka wang'ang'anie mtu mmoja, vibaka hawapo hivyo

Hadithi hii angekuja na I'd mpya ingekuwa tamu zaidi hata Kama ni ya kufikirika.
Umechambua vizri ...hata mimi najiuliza inamaana huyu jamaa maisha magumu yalianza tu baada ya kufukuzwa na msela wake really??? Any way Abu atupe highlights ya maisha yake kabla ya kuachana na rafiki yake ..... mbona baada tu ya kuachana na rafiki yake mambo yaliend kombo sana na alikuwa napiga mishe gani mpka akawa na balance ya 20k kabla ya kuuza simu
 
Story nzuri ila kususa kuimalizia ni upoyoyo uliianzisha ya nini, unataka ubembelezwe umekuwa demu wewe hata mademu wenyewe siku hizi hawabembelezwi, usiilete baki nayo,

Analyse ndo alikuwa muungwana alileta story zake mwanzo mwisho ni mtu anaesimamia ahadi zake,, ukiamua kutoa fundisho basi litoe sio unaishia katikati eti kwa kususa

Sipendi mwanaume anaesusa katika maisha yangu uwiiiii
 
Mpwayungu village nakusihi katika imani yako achana na hao akina Tomaso.(wasioamini)
Maliza stori yako ukate kiu ya wengi.
Usiwaache watu na hamu kwa stori yako tamu.
Ahadi yangu kwako kama hujaoa nitakupa binti yangu bikra akupoze machungu ya kuhaso na maisha ya ufukara.
Binti yangu ni mwajiriwa ana kipato sio chini ya 3M kwa mwezi.
Chai hizi... Binti bikira wakati ananyonyesha?
 
Mkuu hata kama ungeweka jina lako halisi na picha za kusapoti matukio, kuna watu wangepinga tu amini hivyo, binadamu hatufanani. Na wengi wanaofanya hivyo wana shida zao kichwani, wana mapungufu ya kisaikolojia, mtu mwenye akili na muelewa kutokana na mtiririko wa matukio na Geografia ameshajua kuwa unachoeleza ni cha kweli tupu kwa kusoma tu episodi 2.

Uzuri ujue, wanaokuamini ni wengi sana kuliko wakatisha tamaa waliojifanya wanajua ilhali hamna wanachojua na hawewezi andika hata story ya kuvutia kama ufanyavyo angalau kwa paragraph 2 tu , usi rely kwa hao wakatisha tamaa rely kwa watu wa kweli.

Nakusihi mkuu we endelea, wengi tunajifunza, siyo tu kwa hii story yako ya kusisimua na aina ya uandishi wako, bali pia kwa kujua Geografia ya mother Tanzania.
 
Nilichogundua kuhusu mpwayungu village,

_Ni mtu mwenye maisha ya wastani si magumu wala so mazuri sana

_Ni mtu mzima kiasi, yaani kijana aliyekomaa,tofauti na umri anaotuaminisha

_Kazunguka kiasi mikoa mbalimbali na kupiga kambi ya muda mrefu

_hajafika advance kama anavyodai,bali ana form four fulani ya kuzugia

_Mkasa kuhusu hii hadithi yake ni imagination,kaunganisha Dot's tu

_yaani kifupi sehemu zote alizotaja aliwahi kufika tena kwa shughuli zingine

_nimejaribu kufukua nyuzi zake nyingi
Yaani haziendani na matukio yake mengi Uzi huu ,yupo chuo,Uzi huu kaishia form six,uzi huu kamaliza shule ya msingi 1992 yaani fujo tupu

Yote kwa yote hadithi yake imeishia hapo,

Maana Kama ni mateso yalianzia baada ya kufukuzwa na friend mate au roommate wake,

Kisha akaelekea mbagala kuianza Safari ya kuelekea kusini

Uzuri kipande hiki kapangilia vizuri sana Hadi pale aliponunua samaki kule somanga na kugundua hela zote kapoteza

Akaharibu baada ya kufika kilwa masoko ambapo Kuna vibaka wakawa wanataka kumpora

Shots Kati ya yeye na vibaka hapa alituuza, haiwezekani vibaka wang'ang'anie mtu mmoja, vibaka hawapo hivyo

Hadithi hii angekuja na I'd mpya ingekuwa tamu zaidi hata Kama ni ya kufikirika.
we nae mtoto wa mama kula kulala hujawai kupita kwenye msoto uone dunia ilivyo hii story anayosimulia hapa yote anayoeleza yametokea 2020 ndo ametoka maliza form six ila wewe unalinganisha na story ya kutongoza wanafunzi 50 darasani chuoni anakosoma ambayo ni mwaka huu 2022 acheni ujuaji watoto wa mama mtu kuleta story sio lazima iwe imetokea juzi au jana inaweza anayosimulia yametokea miaka mitano au kumi iliyopita bali ni kumbukizi katika mapito yake ya maisha miaka iliyopita ila nyie machoko mnalinganisha na nyuzi za maisha yake ya leo wakati mwezenu anasimulia miaka mitano iliyopita kabla hajafika alipo leo kimaisha ndomama waleta story hawamalizi kisa ujuaji wenu wa kiboya msiyoyajua
 
Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525
@mpwayungu acha UTOTO aisee!! Kama uliweza kuvumialia kufukuzwa getho na mwana, kukabwa na mama wa samaki, kuibiwa waleti, kukoswakutobolewa na macho na vibaka wa stendi, ukataka kulala kwenye mikojo ya mlevi, ukawavumila ma headmaster wote, zile ngumi za second master kukaa na majangili polini ndo ushindwe kukaa na wapuuzi wa JF??

LETA VITU MWANA
 
Tunashindwa kuheshimu muda anaotumia jamaa kuandika na utayari wa kuhadithia.

Tujifunze kuwa na shukrani hata kidogo tu.

Ukiona ni ujinga, unapita pembeni usiumize wengine.

mpwayungu village ikikupendeza na ukaridhia, tunaomba umalizie hadithi mkuu.

Chukulia hizi changamoto za JF kama njia ya kukuimarisha zaidi.

Dunia imejaa watu wa kaliba zote. Ni kujifunza namna ya kuishi nao tu.

Barikiwa
 
Mtoa mada kwa umli uliokuwa nao wakati hayo yanakukuta nashawishika kusema wewe ni mchafu na hauko makini kutunza mali zako hata kama kuna mabo yalikupelekea ufikie hatua hizo lakini. Lakini pole sana kwa shida zilizokupata
Sasa umefanikiwa kumkatisha tamaa ameamua asiendelee, wewe hata kuandika kiswahili hujui....umli ndo nini?
 
Hivi wewe na akili zako za utoto na upuuzi... Unahisi alitakiwa aweke kila kitu kuhusu yeye? Sometimes huwenda historia inamaumivu kwake au kwa walioifanya hiyo historia ya Muhusika hivyo hana budi kuficha vile vya muhimu....

Unachotakiwa ni kuchukua funzo lililo ndani ya story, hayo mengine unayamezea....

Bichwa lako
Nilichokiandika jana usiku...
 
Hapana kiongozi acha tu maana humu Kuna watu wanajiona ni mataita wakudadisi nakunya distinction ya kipi cha ukweli na kipi cha uongo basi mm nimewapa fursa hiyo wachunguze ikiwezekana wasafiri hata huko nilikopita. Huu uzi ulikuwa una sehemu mpaka ya 25 na hayo matukio niliyoeleza ni baadhi tu na nichamtoto maana nilitaka kueleza madhira niliyopitia mpaka ningekuja kueleza nimefikaje chuo lakini mtu anadandia treni kwa mbele. Na Leo sio kucheka na kufrahishana Bali nikukupa funzo kuwa Kuna watu wanapitia magumu mpaka shilingi ya kuchota ndogo moja kwa wiki haipati lakini tunapishana nao barabarani na huko mbeleni yaani sehemu ya kumi na tano na sehemu ya kumi na saba ambayo sijaweka humu kutokana na baadhi ya wapuuzi lilah Kuna mtu angetoa machozi kwa misukosuko iliyonipata. Namshukuru mungu ni mzima nawatakia jioni njema
Jf ina much know wengi sana...
Achana nao fanya yako
 
Story nzuri ila kususa kuimalizia ni upoyoyo uliianzisha ya nini, unataka ubembelezwe umekuwa demu wewe hata mademu wenyewe siku hizi hawabembelezwi, usiilete baki nayo,

Analyse ndo alikuwa muungwana alileta story zake mwanzo mwisho ni mtu anaesimamia ahadi zake,, ukiamua kutoa fundisho basi litoe sio unaishia katikati eti kwa kususa

Sipendi mwanaume anaesusa katika maisha yangu uwiiiii
Em tuletee na wewe yako tujifunze

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom