Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Humu JF inatakiwa kuwe na option ya mwenye uzi kuwa na hati miliki yaani aruhusiwe kuchagua nani wa kucoment kwenye uzi wake na awe na uwezo wa kumtoa mtu kwenye uzi wake.
Lini wabongo mtaelewa maana ya freedom of expression, kila siku mnalilia demokrasia wakati hamjajiandaa kuyapokea yatokanayo na hiyo demokrasia.
 
Kwa Jinsi nlivyo fwatilia story... Mwandishi kaishia sehem ya 13.
Baadhi ya Jf member na hisi ni watoto wa form 2 na Form 4 na hata Six Liver.
Ila ndo members humu hakuna namna ni kuwa kejeli kuwadharau na kuwa puuza kama mapunguani.

Mleta mada mkuu endelea achana na mapungulala...yalio shiba ugali wa shemeji na wana lala Seblen.
Msaidieni kulipia bill ili apate muendelezo wa ilipoishia hiyo story la sivyo sahauni kuhusu kumalizia. Kuna wajomba wanaumiza vichwa kutunga hizo hadithi sio rahisi nyie mzipate hadi mwisho bure bure tu
 
Alama za blue zipi hapo c yeye ndio kaficha baadhi ya taarifa zake ebu acheni ushamba
Unaficha ili iweje?? ... km umeamua kuweka wazi weka tujue!! unaficha nani ana shida na licheti la division four failure karibu na zero!......

kufanya ivo unaweza chukua cheti chochote kile ofisini kwako hapo hata kwa rafiki yako au ndg yako hasa km unatoaga photocopy Machines!...si wanakuja wateja wengi tu hapo!....na

kama wangekuwa wanaweza kuiba hivyo vyeti ki ivo basi Watoa photo copy wangekuwa matajiri sana!...umeamua kuonyesha onyesha tuu kila mtu humu anacho tena zaidi ya hicho!! mfyuuuxcvxvzvz!
 
Lini wabongo mtaelewa maana ya freedom of expression, kila siku mnalilia demokrasia wakati hamjajiandaa kuyapokea yatokanayo na hiyo demokrasia.
Kuna muda yakupasa kutumia kichwa chako kufikiri, Usibebe hicho kichwa juu ya mabega yako kama mzigo, Au sawa na mizigo mingine

Jitahidi uwe unafikiri

Umejaa negativity sana, Try to be positive

Kwa tabia yako hii huwezi Ishi na watu wala ndugu vizuri

100% hukunyonya maziwa ya mzazi kama sheria inavyotaka, Uliwahi kuachishwa mapema kunyonya maziwa ya mzazi hivyo ubongo wako haujajengeka vizuri

Watu aina yako wanahitaji tiba ya kisaikolojia
 
Kama baridi ni kichocheo cha watu kufanya ngono zembe basi Ulaya itakuwa inaongoza kwa ufanyaji wa ngono zembe.
Kweli ndo inaongoza kwa mambo yoooote ya ngono- kijijnga/zembe ila sema wao wana kinga.... aliyesema ''me'' wote africa muolewe! mkataka kurusha ngumi ni nani??.......anaye taka sera za me' kutoa nya zao ili mpewe misaada hatoki Africa! kasome tena uje!

kule ulaya CD wana leseni...hata wewe ukichoka kula papuchi unauza yako hiyo ya nyuma na unapumuliwa, unaheshimiwa! hakizako zinahifadhiwa! unalindwa na haki ya kupendwa! kule rhuksa! wanaongoza.
 
mpwa ukuje huku watu wanahitaji uhalisia wa uliyoyapitia wajue hatma yake ni nini
 
Naona jinsi watu ambao walikusaidia wakisoma hii stori yako jinsi wanavoshangaa dunia ilivokuwa ndogo.Kwa wale ambao walikuchukulia poa pia watakuwa wanajitafakari sana.Lakini mtu ambaye namuwaza ni mshikaji wako wa gheto aliyekutoa usiku akisoma hii stori nafikiri anajua kwamba alikuingiza katika Jehanamu ya kwani kwa mtiririko wa matukio mpaka umefika sehemu ya TISA umezunguka karibu maeneo yote ya pwani ukila msoto na ukatembea kilomita za kutosha,ukakabwa na vibaka,ukaibiwa,ukakosa kazi na yote kwa sababu ya Mshikaji kutaka kumsitiri demu wake na kukuacha wewe ule msoto.
 
Utagundua jamaa ni muongo hata ujasiri aliokuwa anajipa ni uongo. Humu tumemshtukia tu kakimbia. Wakati kule kwenye story yake alipambana na vibaka kadhaa akawashinda. Akalala porini na kukaaa na majangiri yenye SMG huku kakutana na walume ndago wamembana kona kwa maneno kakunja mkia. Nyie msidhani mchezo kuwa mwanaume... Unaleta mkwara mbuzi na stories za uongo wanaume wa ukweli wanakuangalia wanasema Hiiiiiiiiii.... Wanakutisha kama wanataka kukupa mbata.... Unaanguka .ukiamka unajicheck ...ushajinyea.... Unakimbia ukitoa harufu kali.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom