Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa.

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje.

1621080092838.png

 
Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Sasa kwann mnakuwa waongo mtu unasema umpe pesa apike ukija mle kisha anakugeuka anachokua ioio pesa anaenda mpikia mtu mwingine ww unahisi ni haki kabisa kilichoniuma pale sio pesa kilichoniuma ni UONGO na pia pesa yangu kipikiwa mwanaume mwingine nikaona isiwe kesi ngoja nikavamie mm sikuwa na lengo la kupigana ila yeye ndio alianzisha mtiti baada ya kunizuia nisiingie ndani ndio ngumi zikaanzia apo

Afu kwa kukudokeza tu mwishoni kipindi ugomvi unamalizika aliniambia NIONDOKE LA SIVYO ATANIITIA MWIZI kumbe ndio tabia zenu wanawake ukigombana na waume zenu mnawaitia mwizi maana kuna siku nyingine pia kuna bidada fulani hv tuligombana akaniambia ivoivo ATANIITIA MWIZI nikamjibu ita MWIZI uone utakufa ww maana UGOMVI wetu majiran walikuwa wanausikia na wanajua waz kwamba mm sio mwizi bali tumekorofishana ALIUFYATA

DAWA YA MOTO NI MOTO
 
We jamaa kauzu aisee, ila ulifanya fresh, wanaume wengi tulidhulumiwa pesa na wadada kwa style hio, sema tulikaa kimya renamaizo
Pole kamanda hawa viumbe ni km washazoea vile ivo sometime uende ukakinukishe ila ujipange wana nguvu balaa
 
Back
Top Bottom