Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena anasema amepigana...hapo amepigana au AMEMPIGA...elfu kumi yako na story zako zakuambiwa ndo ukapige mtu... LOOOH ptuuuuAisee wewe jamaa umetembeza kipigo namna hiyo kwa mwanamke kisa elfu 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ningeita mwizi Sasa na angekuwa zake kuzimu, wanaume wasio na hela sio wa kudate nao Wana matatizo mengi, stress, na ukichaa juu, insecurities zao, wanaweza kukudhuru
Tena anasema amepigana...hapo amepigana au AMEMPIGA...elfu kumi yako na story zako zakuambiwa ndo ukapige mtu... LOOOH ptuuuu
Wewe hujiamini una roho mbaya jifunze kutoa hyo hela ndogo Sana kufanya fujo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....Wewe Unashida mahala...matatizo yako na masikitiko yako ma huzuni zako, hasira zako na Kutendwa kwako...na frastrations za maisha TAFUTA PA KUPELEKA...Kojoleo lako unaona raha sana kudumbukiziwa shahawa za huyu na yule. Uchafu wa Juma na Frank. Huoni kinyaa? Mtadundwa sana. Mpaka mkome!
Ulijuaje kama hela yako alitumika kupikiwa chakula mwanaume mwingine?kilichoniuma sio hela wadau kilichoniuma ni kunidanganya pia ela yangu kupikiwa mwanaume mwingine
Kweli maisha magumu sana yaani elfu kumi umepiga mwanamke tena kwa kumpandia na boda boda 😂😂😂😂😂😂 wee mwanaume sio bahili tu bali una roho ya mkunjo balaa 😂😂😂😂😂😂duh ! 🙆🏾🙆🏾🙆🏾 Yaani elfu kumi
Niligundua ndan kuna mtu maana aligoma nisiingie ndan akalock mlango na funguo kisha mtiti ukaendelea nje lakin kipind anafunga mlango japo alifunga kwa kasi lakini niligundua ndan kulikuwa na mtuLakini hukumkuta mwanaume kule kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Aseme tuu hata kikubwa ambacho ameshawahi kuhongwa..
fafanua mzee usituache njia panda kwan kwenda kula kwa mwanamke tatizo lipo wapi ? au anaweza kukufanya nn kibaya ?Hivi huu ujasiri wa kwenda kula kwa mwanamke mnautoa wapi? Atakama unatuma hela, acheni upuuzi basi
Hao ni wapigaji tu akimpata zoba amdhulumu pesa ikizid sana laki mademu wanaohongwa nyumba sio hawa vindakindaki ni wale waliotulia na wana kaz zao yaani wanakuteka mpaka mwenyewe unanunua mjengo lkn hao hamna kitu unaanze kumuhonga deemu nyumba ambae ata kwenye akaunti yake ata million 7 hanaAseme tuu hata kikubwa ambacho ameshawahi kuhongwa..
Hawezi kupanga ngumi na wanaume wenzie, itakuwa ni zile ngumi za kupangia mgongoni [emoji23][emoji23][emoji23], maana wanawake hukimbilia kupiga kifuani haaa haaaa!Itakuwa una tatizo mahali mzee...!! Yani mara mbili zote unagombana na wanawakee...
Sasa wakati mnapigana huyo aliyekuwa anapikiwa hakutoka kuangalia kulikoni...hakuna hata jirani aliyetoka?kilichoniuma sio ela kilichoniuma ni ela yangu kupikiwa msosi mwanaume mwingine
Niligundua ndan kuna mtu maana aligoma nisiingie ndan akalock mlango na funguo kisha mtiti ukaendelea nje lakin kipind anafunga mlango japo alifunga kwa kasi lakini niligundua ndan kulikuwa na mtuUlijuaje kama hela yako alitumika kupikiwa chakula mwanaume mwingine?
Maana hujaeleza ulivyofika ulimkuta na mwanaume ndani?
Huyu mtu ulijuaje kama ni mwanamme na ukajiaminisha zaidi kuwa ni mpenzi wake kapikiwa chakula kwa hela yako uliyomtumia mpenzi wako.....Niligundua ndan kuna mtu maana aligoma nisiingie ndan akalock mlango na funguo kisha mtiti ukaendelea nje lakin kipind anafunga mlango japo alifunga kwa kasi lakini niligundua ndan kulikuwa na mtu
Utatumbukiza tu Sana Cha peke yako kaburi mengine yote Ni mwendo wa kushare tu hamna namna. Na ukijifanya kijogoo unaenda kunyooka segerea huko papuchi huioni Hadi unazeekaYaani nije nidumbukize mboo yangu kwenye shimo lenye mabaki ya shahawa ya mwanaume wengine na bado nikuchekee?
Una akili TIMAMU?