Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Labda alikuwa na kibamia,maana nasikia wenye vibamia possibility ya kupata ngoma ni ndogo sana.
 
Umenichekesha kuna siku nilinunua kondom fulan Arusha zinauzwa pact elf 10,nikaziweka kwenye bag nikasafiri kwenda mwanza baada ya siku 4 toka nizinunue kuna demu nikamcheki pale Mwanza nikazitumia.
Eeh bwana nakuja kusutukia nasikia kitu kama cha nyama kwa nyama kuchomoa hivi kumbe ndomu imepasuka.dah hatari sana.
 
Chakula, kujikubali na hali
 
Jamani acheni kukamia game,piga ka bao kale ka kwanza tu ambapo kila MTU anautelezi mwanamke uke unakuwa umelowa,kisha tambaa sasa wewe ukitaka ukomae na cha pili na tatu lazima upate
Hata ule ute ute wa mwanamke una virusi, so ukiingia kupitia tundu la uume lazima uupate UKIMWI.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababi hizo dawa ukizitumia kwa muda badaye zinaharibu kabisa utendaji kazi wa INI na figo.halo wanazokuwa Nazi ni kama MTU anayeumwa ugonjwa wa inni au figo.
 
hakuna kitu kama hicho ukiwa na hiv rapid test inaona tu hata ule dawa kwa miaka 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…