Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Wazee wa Johns corner mafinga poleni. njombe na mafinga ukimwi kwao nii ugonjwa wa kawaida kabisa kama unavyougua malaria,na walishauzoea, watu walishazika sana mpaka sasa kwao ni kitu cha kawada,utashangaa na kuuogopa wewe ngeni
unachosema ni kweli mkuu. Nipo na jamaa tunafanya nae kazi ni wahuko njombe anasema kwao huu ugonjwa washauzoe yaani karibia kila nyumba kuna watu wenye ngoma.
 
True said home boy. Mi kutoka pipe line. Ni majuzi tuu nilikua nawasimulia the similar story wenzangu ofisini. Honestly mafinga ingekua mbali sana kama isingekua ukimwi. Ukimwi umechinja balaa sana sana sana.
 
Tutubu jamani. Wengi tunahisi hizi ni soga. Tunamuuguza mtu hapa na tunaona inavyotutafuna. Anaumwa haswaa. Kweli uzuri ni batili. This disease ikiingia inainvite magonjwa mengine. I don know what to say anymore...
Poleni sana .
 
Alooo si mchezo UKIMWI ni hatari,nimekaa miaka 6 Njombe ila niliyo yaona kuhusu gonjwa hili ni shidaaa,maaneo ya lutilage,chaugingi,mlevela,kibena shule,nzengelendete,lupembe daaa nashkuru niliondoka
 
Duuh... wewe hukufa mkuu?
 
Kwa miaka ya HV karbun wat wanachkulia normal lakin sio kwel ni insane hio ugonjwa
 
Hili nilijionea kwa macho nikiwa huko
 
Correct
HIV ikiingia kwenye AIDS inaleta hizo opportunistic diseases including Malignant diseases
Common cancers among HIV/AIDS include Kaposi's sarcoma ,CNS lymphoma
Na pia HIV induced psychosis is common
Ni kweli HIV ni baba la magonjwa mengine
 
Hongera sana Mkuu. Hivi vipimo sh. Ngap na vinauzwa wap?
Pharmacy au hospital unaongea na doctor pembeni....bei elfu 5 nafikiri

Mimi nilinunua almost 8 akaniuzia elfu 3 tu.. ajabu nikajipima mara nane kwenye mwezi mmoja mawenge aya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…