Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Kuna mtaa tuliishi 1993-1996 karibu watu wengi mpaka baba mwenye nyumba na mke na wapangaji ,yaani ni mtaa mzima walikufa ila dingi alikuwa kicheche ila hakupata,yaani watu walikufa mpaka wa Rika langu ,huwezi kukuta mtu unamjua kwenye huo mtaa,mimi mpaka Kuna mshukaji wangu tulicheza Naye mpira alikufa yeye na kaka yake
 

Unaweza kusema ajali za barabarani haziui watu kama magonjwa, hivyo watu wasikuze sana athari za ajali za barabarani?

Ukiwa na UKIMWI halafu ukala vyakula sahihi bila dawa unaweza kuishi miaka 30?
 
Aiseh pole sana
 
Bado hujagusia bodaboda na ajari kibao, leo unakaza kwa ndomu kesho unapinduka kizembe na sunLG yako , yaan maisha ni ushenzi mtupu
 
Nilivyo ona neno Mafinga Iringa, nimeishia hapo kusoma...
Nyanda za juu kusini hasa hasa Iringa, ukimwi upo kila nyumba kila mtaa, si jambo la kushangaza...
Sababu 1. Imani potofu kuhusu tohara; hivyo jamii kubwa haijapata tohara na kisayansi mtu govi ni rahisi kupata michubuko na maambukiz ya UKIMWI wakat wa kujamiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…