Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Yaani huwa nakudharau sana, umesha ambiwa hadithi, unataka ukweli upi tena?
Ulinishtua sana uliposema umenidharau. Haraka nikaamua kuangalia kwenye akaunt yangu bank baada ya wewe kunidharau nimepungukiwa na nini. Hamna kilichopungua wala kuongezeka. Hata ukiniheshimu siongezewi wala kupungukiwa kitu.

Mi naomba muwe kama 1000 wote muamue kunidharau halafu nione itakuaje kwangu. 😁
 
Ila Handeni ni hatar na wazigua ndo wanaipa sifa ya uchawi Tanga wengi hwajui...Wasambaa , wadigo na wabondeni hawanaga uchawi wa kutisha zaidi ya zongo ila Handeni ni hatar.

Uchawi na waganga kila kona piga mahesabu kijiji hata watu laki hwafiki ila kuna waganga elfu 1 na kitu na hao waganga ndo wachawi hao hao.
 
Kumekucha nasikia mengi ya kwamsisi
 
Ukimpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hautapata hizo tabu kamwe. Utalala usingizi safi kabisa na hakuna mchawi atakaeweza hata kugusa kivuli chako.
 
Ukimpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hautapata hizo tabu kamwe. Utalala usingizi safi kabisa na hakuna mchawi atakaeweza hata kugusa kivuli chako.
Hilo watu wanasema! Yaani inahitaji Imani haswa ili usiguswe. Lakini ukiwa na imani ile ya tia maji..aiseeh unapigwa vizur tu sababu hizo spirits zipo very intelligent kiasi kwamba zinaweza kutega sehem ndogo tu na ukaanguka ukapigwa..mfano; zinaweza kuletea kaugomvi kidogo upate hasira, uzinzi, majivuno, ulevi..
Unaposema kwa Mungu uwe ni wa moto kweli kweli vinginevyo ni Neema tu inatulinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…