gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 790
- 1,373
- Thread starter
- #301
Nahisi ni story
Katika adiko umesema
1. Ulivua bangili Ili wachawi wasikugundue, ( na ndo lilikuwa likikusaidia kuona vya rohoni) lkn mara ukaona yule mchawi anaingia (ulimwonaje huku umevua bangili?)
2. Kama sikosei unasema mganga wako alikupeleka Siku chache zilizopita (tena mara Moja) kuona kilinge Cha wachawi. Sasa wewe
a) Ulipata wapi ujasili wa kushindana na mchawi mkuu ingali unasiku chache ndo umeanza kuviona
b) Je mda huo mfupi unatosha kuwatambua wachawi waliokuwepo huko Tena wamevaa kichawi halafu ukawatambua msibani mchana wakiwa wamevaa nguo za kawaida (halafu Kwa mda huu wewe ulikuwa mgeni kijijini hapo).
3. Unasema uliwakuta mwl mkuu na wanafunzi wamelazwa nje? Ok sawa.
a) Hivi ni rahisi Kwa mgeni wa kuona mambo hayi, eti ukabaki shuleni Kwa ujasili huo ( Tena mwajiliwa mpya!!!?)
This is BIG NO
....................
Labda hebu tuchukulie hii ni story kama story zingine.
1. Pamoja na kuvua bangili niliweza kumuona yule mchawi, sio kila mchawi anakuja kwa njia isiyo onekana, usikariri hata wewe unaweza kumuona mchawi ukitaka.
2 a) Ujasiri niliupata kwa sababu mimi ni jasiri tangu nikiwa mdogo, siwezi kukwambia yote kuhusu mimi, pia kuna kitu kinaitwa adrenal gland, unaweza kujikuta umekuwa jasiri bila kutegemea.
b) Niliwatambua baadhi japo sio wote lazima uwe na akili ya kidadisi na kiuchunguzi.
3. (a) Soma vizuri kipengele hicho nilifika shuleni asubuhi ndio nikawakuta hao walimu wenzangu.
NB. Kama unaswali jingine unakaribishwa pia.