Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi


1. Pamoja na kuvua bangili niliweza kumuona yule mchawi, sio kila mchawi anakuja kwa njia isiyo onekana, usikariri hata wewe unaweza kumuona mchawi ukitaka.

2 a) Ujasiri niliupata kwa sababu mimi ni jasiri tangu nikiwa mdogo, siwezi kukwambia yote kuhusu mimi, pia kuna kitu kinaitwa adrenal gland, unaweza kujikuta umekuwa jasiri bila kutegemea.

b) Niliwatambua baadhi japo sio wote lazima uwe na akili ya kidadisi na kiuchunguzi.

3. (a) Soma vizuri kipengele hicho nilifika shuleni asubuhi ndio nikawakuta hao walimu wenzangu.

NB. Kama unaswali jingine unakaribishwa pia.
 
Endelea mkuu.

Ila wee nae king'ang'anizi duuuh. Muda wote huo me ningeshawachie kijiji chao na kusepa.😂
 
Huku jf tunakuja kerelax
Hizi nguvu unazotumia za kukosoa nyuzi za watu ambao hata uwajui zitumie kwenye maisha yako
 
na wewe sasa umezidi mtoto wa kiume kurusha rusha mipasho kama upo na dada zako umu ndani
 
Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Teacher just keep rolling, don’t waste your time for insane people! Shusha vitu imefikia pazuri sana..Tupe mwendelezo tafadhali😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…