Zote zipoAsante mkuu niliishia episode 6 ndio naingia leo napitia koments najua kuna muendelezo nakutana na mtu kasusa kisa ujuaji wawatu ..... mara anaendea tena... bado naitafuta episode 7?? Hivi ipo kwelii au alususaga tena???
Make nisije poteza muda buree mie!
Shukrani sana!! Usiwe unasusa susa hivo mwalimu!Zote zipo
Kwa hiyo kama hivi ulivyofanya na wewe ndo unakua tayari GREAT THINKER...!?Mzee uko Deep! Deep, kuchimba taarifa man, na kufukua vilivyofukiwa,
Jamaa mpaka kaogopa kaomba mods wamfutie thread yake....kasahau hata thread ikifutwa but kama kuna mtu alishai-quote, unakuwa hujafanya chochote!👇👇👇..
Ukiwa muongo, uwe na👇 kumbukumbu!👇....
Naona hii ndio njia Yako ya kujiajiri kupitia ICT uliyoamua kuitumia.....
Perfect kabisa....... but imetiwa doa! KWA kuwa ni fiction story mzee....
Anyway tuburudike tu......
Inaweza ikawa ni jongoo wa kawaida ama ikawa ni mtego, jaribu kuangalia nyendo zako. Tiba, safisha nyumba yako weka chumvi ya mawe kila kona ya pembe ya chumba, usiruhusu mtu usiyemjua vizuri kuingia ndani kwako.Alafu mkuu mwandishi niko jiji la chalaboy mtaa fln ivi jana na juzi nimelala nakuta jongoo kitandani mkuu nakosa amani kabsa. Mfano jana nimelala nashtuka linapita mgongoni, kuwasha taa nakuta bonge ya jongoo asee. Mkuu nakuomba kwa noleji yako ya mambo haya ya gizani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]haya mambo kwa tanga ni ya kweli kabisa mm mwenyewe nilikuwa handeni kijiji cha ndelema ukikuta nyumba hawajui uchawi basi wana mganga wao anaowatibu
Hawajui nshashuhudia sista anaenda kwa mganga mtwara huko ila nafasi hakuna mtu anakaaa ni yeye tu, kanisa linamuamini balaaa....Ndio maisha halisi ya watanzania, hata hao wachungaji mnao waabudu tunapishana nao kwa waganga kila siku.
Sanaa tu Hawa watu wanaojifanya Wana dini wengi wanaafki tuhajui kuwa Mtu swala tano swafii na anafuga majini
Sista ee upo dom sehemu nije kukusalimia ?Sanaa tu Hawa watu wanaojifanya Wana dini wengi wanaafki tu
Mkuu unajua tofauti ya uchawi na ushirikina?Sema kwa msisi pakiboya sana ndio maana sehemu yeyote yenye imani za kishirikina zinakuwa za kimaskini
Niko huku Mwisho WA mji kakaaa....Msalato Moja!Sista ee upo dom sehemu nije kukusalimia ?
Tatizo siyo Uzi! Tatizo anaposema ni story ya kweli kumbe ni FICTION STORYSasa mtu analeta stori yake watu humu mnampinga na kumkejeli
Kama mtu unaona uzi haukufai
Si upite kimya,mwache mwenyewe aendelee kushusha stori yake
Ova
Iwe story iwe fiction waamwache tuTatizo siyo Uzi! Tatizo anaposema ni story ya kweli kumbe ni FICTION STORY
Mmmmhh nipo Chang'ombe hukuNiko huku Mwisho WA mji kakaaa....msalato Moja!
Nimecheka sanaaa [emoji1787][emoji1787]Wajukuu wa mzee samasimba na shemeji zake mbwana wanakazana sana kumtoa mwandishi kwenye reli ahhhah tulieni mambo yenu yaanikwe hadharani, ngisi nyie
Nashukuru mkuu, ila niliweka hii ya kawaida ila bado mambo yakawa hvyo, ngoja nikatafute ya mawe. Thanks kwa ushauriInaweza ikawa ni jongoo wa kawaida ama ikawa ni mtego, jaribu kuangalia nyendo zako. Tiba, safisha nyumba yako weka chumvi ya mawe kila kona ya pembe ya chumba, usiruhusu mtu usiyemjua vizuri kuingia ndani kwako.
😂😂 pole sana kijanaNimecheka sanaaa [emoji1787][emoji1787]