Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Asante mkuu niliishia episode 6 ndio naingia leo napitia koments najua kuna muendelezo nakutana na mtu kasusa kisa ujuaji wawatu ..... mara anaendea tena... bado naitafuta episode 7?? Hivi ipo kwelii au alususaga tena???
Make nisije poteza muda buree mie!
Zote zipo
 
Alafu mkuu mwandishi niko jiji la chalaboy mtaa fln ivi jana na juzi nimelala nakuta jongoo kitandani mkuu nakosa amani kabsa. Mfano jana nimelala nashtuka linapita mgongoni, kuwasha taa nakuta bonge ya jongoo asee. Mkuu nakuomba kwa noleji yako ya mambo haya ya gizani
 
Mzee uko Deep! Deep, kuchimba taarifa man, na kufukua vilivyofukiwa,

Jamaa mpaka kaogopa kaomba mods wamfutie thread yake....kasahau hata thread ikifutwa but kama kuna mtu alishai-quote, unakuwa hujafanya chochote!👇👇👇..

Ukiwa muongo, uwe na👇 kumbukumbu!👇....

Naona hii ndio njia Yako ya kujiajiri kupitia ICT uliyoamua kuitumia.....

Perfect kabisa....... but imetiwa doa! KWA kuwa ni fiction story mzee....

Anyway tuburudike tu......
Kwa hiyo kama hivi ulivyofanya na wewe ndo unakua tayari GREAT THINKER...!?
 
Alafu mkuu mwandishi niko jiji la chalaboy mtaa fln ivi jana na juzi nimelala nakuta jongoo kitandani mkuu nakosa amani kabsa. Mfano jana nimelala nashtuka linapita mgongoni, kuwasha taa nakuta bonge ya jongoo asee. Mkuu nakuomba kwa noleji yako ya mambo haya ya gizani
Inaweza ikawa ni jongoo wa kawaida ama ikawa ni mtego, jaribu kuangalia nyendo zako. Tiba, safisha nyumba yako weka chumvi ya mawe kila kona ya pembe ya chumba, usiruhusu mtu usiyemjua vizuri kuingia ndani kwako.
 
haya mambo kwa tanga ni ya kweli kabisa mm mwenyewe nilikuwa handeni kijiji cha ndelema ukikuta nyumba hawajui uchawi basi wana mganga wao anaowatibu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sema kwa msisi pakiboya sana ndio maana sehemu yeyote yenye imani za kishirikina zinakuwa za kimaskini
Mkuu unajua tofauti ya uchawi na ushirikina?

Me naona huko kwa msisi kumejaa uchawi zaidi sio ushirikina, maana wachawi ndio huwa hawaendelei zaidi, ila washirikina wanatusua sana.

Japo uchawi na ushirikina ni kama mtu na baba yake.
 
Sasa mtu analeta stori yake watu humu mnampinga na kumkejeli
Kama mtu unaona uzi haukufai
Si upite kimya,mwache mwenyewe aendelee kushusha stori yake

Ova
Tatizo siyo Uzi! Tatizo anaposema ni story ya kweli kumbe ni FICTION STORY
 
hapa kuna mganga anapigiwa chapuo, nipo palee nasubiri kushuhudia watu wakipigwa humu
 
Inaweza ikawa ni jongoo wa kawaida ama ikawa ni mtego, jaribu kuangalia nyendo zako. Tiba, safisha nyumba yako weka chumvi ya mawe kila kona ya pembe ya chumba, usiruhusu mtu usiyemjua vizuri kuingia ndani kwako.
Nashukuru mkuu, ila niliweka hii ya kawaida ila bado mambo yakawa hvyo, ngoja nikatafute ya mawe. Thanks kwa ushauri
Nimecheka sanaaa [emoji1787][emoji1787]
😂😂 pole sana kijana
 
Back
Top Bottom