Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Mkuu unajua tofauti ya uchawi na ushirikina?

Me naona huko kwa msisi kumejaa uchawi zaidi sio ushirikina, maana wachawi ndio huwa hawaendelei zaidi, ila washirikina wanatusua sana.

Japo uchawi na ushirikina ni kama mtu na baba yake.
Vyote vipo huko huoni vile vijumba vyao mgeni tengeneza nyumba nzuri utakiona cha mtema kuni


Fahari yao ni watu wazitu kushuka pale na magari yao kwenda kuaguliwa kila nyumba kuna mganga wa kienyeji
 
Kama ni mimi ningeomba kuhama ikishindikana ualimu wao ningewaachia
 
CHAI HIII. KABISA YAANI.
 
Hio Kwamsisi mzee aliacha shamba la heka 50 la michungwa na minazi pamoja na nyumba ya room 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nini kilimpataga bana.
Walimpiga kipaipai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani mtu anakunuiza nenda Mwana kwenda kama upepo unavoenda afu anakupuliza huku ananuia "km maiti inarudi na yeye arudi kama hairudi basi asirudi tenaa"weeee...usiombe
 


Yani kweli umekalisha kengele chini ukiamini hii ni story ya kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…