Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Mimi ni shuhuda wa hili pia 🙌
 
Yaani huwa nakudharau sana, umesha ambiwa hadithi, unataka ukweli upi tena?
 
Haya mambo ya uchawi huwa yamekaa km ngano tu . Mim mpaka siku nishuhudie mtu akipita katikati ya ukuta ndio nitaamini
Ni kwa sababu ni mambo ya Kiroho/yanahusisha roho hivyo ikiyatafsiri kimwili huwezi pata jibu utaona kama ni hadithi..Kumbe sio ni kitu kipo halisi kabisa.
Ni sawa kwa Imani ukiambiwa roho mtakatifu kwa mwamini anaamini kuna hiyo nguvu na vivyo hivyo majini yapo sio kwamba hayapo.
All in All ni mambo ya imani kwahiyo kuyang'amua inahitaji uwe wa kiimani/kiroho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…