Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Sijafurahi mtunzi kuondoka Kwani kulikuwa na mengi ya kujifunza. Wapeni watunzi space wafanye yao then mtauliza maswali. Pia nyie watunzi hii mambo ya itaendelea ndio inaleta yote haya mjitahidi kuandaa story zenu zikikamilika Mnatupia tu mz

Mi naenjoy mnavyokasirika hivi na kutokwa na mapovu. Nataka mnichukie na mchukie sana. Naenjoy. Its my pleasure.... Bring some more
Unatatizo hujui tuu
 
Punguza kimbelembele umalaya wa JF hauna faida mwanamke. Una kimbelembele sana.

Mwenye uzi tumechat mpaka kueleweshana. Wewe kinuka mkojo unawashwa na kupita pita mbele za wanaume wa watu. Ungeona mwenyewe alivyo positive na kukubali criticism kistaraabu ungejishtukia. Msipende kudandia mambo yasiyo wahusu.
Jaribu kua mstaarabu Mkuu hata kama tunatumia id fake! Sijuagi nafsi yako haikusuti ww😭😭
 
We chalii umezidi
..Nani aliyekupa kazi ya kuhakiki...hiyo kazi waachie tahakiki
Punguza kimbelembele umalaya wa JF hauna faida mwanamke. Una kimbelembele sana.

Mwenye uzi tumechat mpaka kueleweshana. Wewe kinuka mkojo unawashwa na kupita pita mbele za wanaume wa watu. Ungeona mwenyewe alivyo positive na kukubali criticism kistaraabu ungejishtukia. Msipende kudandia mambo yasiyo wahusu.
 
Nahisi ni story

Katika adiko umesema
1. Ulivua bangili Ili wachawi wasikugundue, ( na ndo lilikuwa likikusaidia kuona vya rohoni) lkn mara ukaona yule mchawi anaingia (ulimwonaje huku umevua bangili?)

2. Kama sikosei unasema mganga wako alikupeleka Siku chache zilizopita (tena mara Moja) kuona kilinge Cha wachawi. Sasa wewe

a) Ulipata wapi ujasili wa kushindana na mchawi mkuu ingali unasiku chache ndo umeanza kuviona

b) Je mda huo mfupi unatosha kuwatambua wachawi waliokuwepo huko Tena wamevaa kichawi halafu ukawatambua msibani mchana wakiwa wamevaa nguo za kawaida (halafu Kwa mda huu wewe ulikuwa mgeni kijijini hapo).

3. Unasema uliwakuta mwl mkuu na wanafunzi wamelazwa nje? Ok sawa.

a) Hivi ni rahisi Kwa mgeni wa kuona mambo hayi, eti ukabaki shuleni Kwa ujasili huo ( Tena mwajiliwa mpya!!!?)

This is BIG NO
....................
Labda hebu tuchukulie hii ni story kama story zingine.

Mambo mengine msichukulie serious ivo mtapata vijiba vya roho bure someni kish am furahi na nyoyo zenu
 
Nitaelezea hii story ya maisha yangu ya Kwamsisi niliishi ndani ya muda mfupi si zaidi ya miezi mitatu nikiwa kama mwalimu, kwa mwenye kuamini atafuatilia uzi huu kama hamuamini siwezi kuwalazimisha.

Endelea mkuu achana na hao wanakupangia kusimulia vitu vya maisha yako kama vile ni maisha yao
 
Habari, nimepata PM nyingi za wadau juu ya hii hadithi, kuanzia kesho nitaiendeleza, Angalizo: napokea positive criticsm na ushauri.

Mkuu hii mambo ya kandika alaf unarudi kusoma comment za waja sio nzuri ndio maana unapanic nakugadhabika wee tushushie vitu bila kujali
 
Habari, nimepata PM nyingi za wadau juu ya hii hadithi, kuanzia kesho nitaiendeleza, Angalizo: napokea positive criticsm na ushauri.
Itakuwa jambo jema!
 
Mambo mengine msichukulie serious ivo mtapata vijiba vya roho bure someni kish am furahi na nyoyo zenu
Unajua kuwa jamiiforums ni jukwaa la greater thinkers! (Miongoni mwa Sifa ya greater thinker ni kufanya analysis na evaluation ya taarifa).

Sasa mtu anaulizwa tu eti anajikinai.
Analazimisha tukubali Kuwa story yake ni true based story, wakati inamaswali mengi ambayo yanaacha alama za kujiuliza.
 
Huna akili wewe kama unataka unachokitaka ungekitafuta na usifikiri kila unachotaka kila mtu anakipenda kama haijakupendeza unatulia unaendelea na mada nyingine kwani majukwaa mengine yamefungwa? Hadi ukomae huku?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom