Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi


Kwa mimi mtaalam wa Afya kwa kutumia elimu yangu, naona 6 yuko katika hatua za mwisho za kupata shambulizi kubwa la ugonjwa akili, na kama kura hizi hazitakuwa kama anavyofikiria mwaka huu hauishi kabla hajalazwa hospitali kama si kwenda kwa waganga wa jadi kabisa au nje ya nchi kwa matibabu.
 

Hv mod vp mbna wameonganisha thread ya sitta kukejeli kazi ya viongozi wa dini yetu, af anaunganisha ya huyu chizi chabruma thread ya uvccm, siyo haki hata kidogo mnavyofanya
 
Hv mod vp mbna wameonganisha thread ya sitta kukejeli kazi ya viongozi wa dini yetu, af anaunganisha ya huyu chizi chabruma thread ya uvccm, siyo haki hata kidogo mnavyofanya
Acha mambo yako ya kitoto viongozi wa dini gani unaowasema au wale wahuni amabao wanalipwa na chadema 50 elfu kwa mwezi.
 

Sitta ana hasira ya kuingizwa mkenge na ccm, yaelekea alipewa uspika kwa ahadi kuwa akiichakachua rasimu ya Warioba na kuingiza rasimu ya ccm baadaye watampitisha agombee urais lakini kwa hali inavyokwenda na jinsi wananchi wanavyopinga mchakato kuwa haujawa wa maridhiano Sitta amekwishatambua kuwa ccm walikuwa wanamtumia tu na kwa hivyo hawawezi kumteua kuogombea urais 2015 na badala yake ccm watampa waliye mkusudia (Amesahau uspika na issue ya ni wakati wa wanawake ambapo madam spika Anna Makinda akapewa kilaini).

Sita anasahau kuwa mara zote viongozi wa dini wanahubiri upendo, amani na pia huliombea taifa ili liendelee kuwa na amani na wananchi wake waendelee kuwa na umoja. Viongozi wa dini ni watu wa maono, hawawezi kukaa kimya wanapoona wanasiasa wanataka kuvuruga amani na wasiseme kitu kwa kuogopa kuwa wanasiasa watawachukia. Viongozi wa dini wa kweli lazima wawaambie vingozi/watawala ukweli.

Sita anataka amani ya nchi ivurugike na baadaye viongozi wa ini waambiwe ombeeni amani ya taifa? Kwa kauli yake hiyo anapaswa aende kanisani na kuomba sara ya toba.
 
Acha mambo yako ya kitoto viongozi wa dini gani unaowasema au wale wahuni amabao wanalipwa na chadema 50 elfu kwa mwezi.

We mshamba tu unahongwa vikao vya uvccm ambavyo vinaongozwa kwa mawazo ya makalio kama mnavofarijiana, yan aite waraka wa muungano wa makanisa upuuzi af tumuache, mshenz yule na ww Simiyu yetu mshamba tu haufik popote na hzo elf 30 zenu mnazolipwa uvccm kupiga promo za bunge lenu la kishamba tu
 
Sipendi kubishana na wake za watu tuishi kwa adabu tafadhari sikutaki nitakuumbua vibaya sana.
 




Ndugu zangu kukaa kimya bila kujibu jambo lolote ni busara sana, nina mkubali sana Mh E. Lowasa kila kukicha anaandamwa na kashfa, lawama, vijembe na hata kebei lakini usikii akijibu jambo hii ni busara ya hali ya juu sana kuliko kila kikisemwa juu yako unataka kujibu mashambulizi, sisi wanadamu tunategwa kidogo na maneno yetu na unaweza kualibikiwa na watu wengine wanaweza kuzua jambo juu yako ili tu wakuchokonoe ulopoke wapate kujua udhaifu wako na hapo ndipo unakuwa umejimaliza kabisa. Mh Sita kuwajibu maaskofu kwa waraka wao kwa njia ya kebei anainua vita asivyo vijua kwanini asitumie busara kunyamaza kimya Bunge lenyewe ndio limemaliza muda wake amefanya kitu ambacho atakijutia kwa siku za usoni.
 

Sita amelaaniwa na familia yake itaishia pabaya.
 
Sitta asingejiingiza kwenye uenyekiti wa bunge la posho angebakiwa na heshima yake japo kidogo...lakini kwa kuwa akili yake ni ndogo na amejaa ubinafsi wa madaraka akang'ang'ania nafasi ya uenyekiti huku akina chenge wakinchora tu...sasa mambo yamemengeuka andharaulika hata na watoto... pole sita baada ya bunge hili sita anazikwa rasmi kisiasa...urais ndo bybye hivyo!
 
The able leadership of the church must excommunicate Sitta immediately.
 
Sasa wameanza kukashifu hadi waumin na viongozi wao??

Kweli laana ya walalahoi ikikukumba inaleta mchanganyiko wa akili.

Sitta mwisho wako sio mwema.
 
Hii ni kali mtu anakana dini yake kwa sababu ya Uraisi? kusema ni nyaraka za kipuuzi atazikwa na Kanisa gani?
 
Sio kila mwenye masikio anasikia na kuelewa, mambo mengine hayahitaji mtu uwe na PHD uelewe, labda ulikua na hamu ya kupost haya nimekuona
 
Nilikua nashangaa watu kumpigia chapua eti anafaa kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba.
 
Ndugu yangu unamaneno yaukweli hawa jamaa IPO mda watakuwa hawaongei lugha moja

Mpaka sasa hawaelewani na ndio maana utakuta jitu limesoma anakuwa na udhubutu wa kusema uchumi wa nchi umekuwa, mara wapigwe tu, kupata mimba ni kwa ajili ya viherehere vyao, mkishindwa kulipa nauli pigeni mbizi, hata majani mtakula elimradi ndege ya rais inunuliwe hapo tunahitaji miujiza gani itokee zaidi ya kuwaweka pembeni hawa makaisari.
 
Yesu wangu..!!yaani huyu sita anadiriki kusema maneno ya mungu ni upuuzi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…