Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

Samuel Sitta atukana nyumba za ibada.

Huyu si alikuwa mzee wa usharika pale kinondoni KKKT au siku hizi kahamia kwa Gwajima laana ipo juu yake lakini hata ndani ya Biblia imeandikwa ni aheri kuishi na mchawi kuliko mnafiki.
 
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.

Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!

Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.

Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.

Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?

Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
Abomination.
This Sitta guy someting just got into his head!!!!
Tunamkumbuka alipokuwa akiwabembeleza pale Kijitonyama KKKT, leo anawatukana.
Ataijutia kauli hiyo, not before long.
 
sitta ni kati ya watu wajinga tanzania,sijui aliwezaje kuwa mnyamwezi ana waaibisha sana watu wa tabora.
 
Mimi ni Muislamu lakini nilipomsikia Sitta anasema haya maneno nimejishika kichwa nikasema LAAHAULA WALAKUWATA ILLAA BILLAHI, na kuanzia leo ndio nimefikia upeo wa kuamini kama huyu Mzee kachanganyikiwa na ameshapoteza muelekeo! Bila shaka hapa atakua amejitangazia vita na Imani husika!!!!
 
Huyu mnyamwezi mwenzangu kapoteza direction ya hii nchi na hata ya kwake mwenyewe. Halafu anataka kuwa head of state wa hii nchi,you just lost it my home boy

Niliwahi kusoma katika gazeti la mawio kwamba ilikuwa ni bora kuteketeza mabilioni ya wavuja jasho ili kumwangamiza huyu jamaa!

Asisahau huyu huyu Chenge anayeshirikiana naye kwenye huu mchakato, ndiyo aliyekuwa kinara wa kumwengua katika king'ang'nyiro cha Uspika wa Bunge la Kumi!

It is enough to say 'mission successfully complete'

Akija kugutuka ni too late..............
 
Cc; Laki si Pesa, Lizaboni, Simiyu yetu, Faiza Fox, The Big show... et al... Ndugu mnakubaliana na hii kauli??
 
Amezeeka sasa,anaanza kusahau "Standards" amebakiwa na "speed".Sielewi kama safari ataifikisha.Tuombe Mungu
 
Sasa wameanza kukashifu hadi waumin na viongozi wao??

Kweli laana ya walalahoi ikikukumba inaleta mchanganyiko wa akili.

Sitta mwisho wako sio mwema.

Bora umeliona hili mkuu, mwisho wake si mwema
 
Kakobe alishamaliza kinachotokea sasa ni matokeo, laana tayari ilishaanza kutafuna taratibu.Kabla ya tarehe 4/10 tutaarajie mengi zaidi yenye kutisha.Shetani anataka vitu vyake na watu wake mmoja wapo ni sitta wala msishangae na wengine watajitokeza kabla ya machweo.Toooooookaa shetani tooooka
 
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.

Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!

Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.

Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.

Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?

Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
Amesema hivyo hivo kwa sababu Mungu amemalaani haoni wala hasikii amekuwa Kiziwi kwa kujipendekeza kwa Kikwete wakimfungia novena baada ya siku chache tu utashangaa kapinda mdomo
kwa kusahihisha waraka ulitolewa na jukwaa la Kikristo muunganiko wa TEC,CCT,PCPT,Seventh days
 
Nyaraka zilizoandaliwa na Jukwaa la Wakristo kuhusu upuuzi wa BMK ni sahihi. Viongozi wa dini wana jukumu kubwa kuonesha ukweli unaotuweka huru.
Huyo Sitta awaombe radhi viongozi wa dini. Hawezi kuwaita wapuuzi kwani kusema kwao ukweli ni wajibu wao kitaifa (kizalendo).
 
Wakiristo sasa ndio muone na upuuzi wenu huko makanisani mnavyodharauliwa, mlitakiwa msimame kwa nguvu moja kabla kudai Tanganyika yenu sasa Sitta anawaumbua live. Tuone sasa Kanisa litasema nini juu ya kauli hii
 
Sitta si tu janga la kitaifa bali ni mtu aliyekosa uhalali kuishi kwenye hii sayari. kama anaanza kuwatusi hata maaskofu na makasisi basi hata mbinguni hana nafasi. Sasa mwenye ubongo anajua wapi sitta anastahili.
 
Sitta mpumbavu ,nimemsikia,nilikuwepo siku waraka unasomwa hakika waraka ilijaa mambo ya kichungaji,sasa sitts anataka viongozi wangu wasiniambie?.hii ni hatari kwa nchi na sitta amechochea motto ambayo hawezi......amechanganyikiwa maana mission yake ya urais imeota mbawa.
 
Siamini kama 6 kasema hivyo!
Mwenye link ya video ya issue hii aiweke hapa tafadhali
 
Nasikia aliwahi kuchapwa viboko na nyerere, sasa leo sijui tumfanyaje.Anatukana nyaraka za kichungaji!!!!!!!!!!!! eti mpambanaji wa ufisadi milioni 150 zimemchanganya.
 
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.

Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!

Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.

Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.

Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?

Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.

Maona Anagusa kusiko Gusika Mwenye hati Miliki na Hii Nchi ni nani?
 
Back
Top Bottom