VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Sita Mkatoliki tangu lini? Hapana.
Halafu hii habari itakushushia hadhi i guess....
Typho Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sita Mkatoliki tangu lini? Hapana.
Halafu hii habari itakushushia hadhi i guess....
sasa wameanza kukashifu hadi waumin na viongozi wao??
Kweli laana ya walalahoi ikikukumba inaleta mchanganyiko wa akili.
Sitta mwisho wako sio mwema.
Mkuu Sita hasali katoliki, yupo KKKT, tena ni msharika Kijitonyama na baadae Msasani. Nimeshangaa sana kauli aliyoitoa, kweli mzee huyu kachanganyikiwa, kila anaempinga yeye anamuona mpuuzi, kweli amefikia ukingoni
Kuna mambo yanachijihirisha wazi sasa hivi...Sitta sio kiongozi mzuri
.........Adhabu ya juu ya kikanisa ni kufungiwa sakramenti na visakramenti........!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kufuatia kauli yake ya leo katika BLK kuwa Waraka unaosomwa makanisani juu ya katiba mpya kuwa ni wa kipuuzi, Mwenyekiti wa BLK Samwel Sitta kuadhibiwa kikanisa. Habari toka KKKT anakosali Sitta zinaonesha kuwa adhabu hiyo iko njiani.
Viongozi wa kanisa wameitafsiri kauli hiyo kama kauli iliyojaa kiburi na dharau kwa viongozi wa juu wa kikanisa walioandaa Waraka huo ambao Sitta ameuita upuuzi. Adhabu ya juu ya kikanisa ni kufungiwa sakramenti na visakramenti.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Baada ya BMK Leo kuanza kupiga Pinda awaomba waislamu wakubali rasmi kuwa mahakama ya kadhi haiwezekani kuwekwa ndani ya katiba hapa hekima na busara imetumika
Ilitaifa lijengwe vema dini mbili hizi kubwa zishirikiane kujenga waumini wake pamoja kuwa walinzi Wa Amani ya taifa letu Tanzaniauh
sita hayuko sahihi maana makanisa aliyoyatisi sio ya kilokole bali yale aliyoyakimbilia wakati alipojiona mpambanaji. ...... Ila katiba boraaa katuleteaaa ache matusi tu atuliee apewe tuzo maaana ezingatia maagizo yote ya cc. Kumbuka ccm ni baba mwenye nyumba hakuna wa kukataaa iwe makanisani au misikitini huko kote tumewashika. Ccm kidume imeweza kuilinda na kuipigania katiba pendwa. Jamani tuelezane ukweli ccm babalao, uliza cdm uliza nnccr, uliza cuf moto wa ccm hakuna auwezaye. Kwa taarifa yako hakuna mwanaume wa kupinga yaani hata shetani mwenyewe babayake sita anaiogopa ccm ...... Katiba itapita upende usipende upige kula usipige katiba inapitainawezekana sitta yuko sahihi maana haya makanisa mengi yako kibiashara zaidi na ni heri alivyosema yeye sio wa kutoka dini nyengine.