lutamyo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 641
- 159
kwa hili sitarajii viongozi wa makanisa yote nchini kukaa kimya Hata akina askofu mtetemela Sitta ni lazima aseme nyaraka zipi za makanisa ni za kipuuzi na ni makanisa yapi na yalitoa nyaraka hizo wapi HATUWEZI KUWA NA WAKRISTO WANAOKASHIFU MADHABAHU LA si hivyo tuone Mungu wa SITA na Mungu wetu yupi Mkubwa....
OOoh MECA! SIO KILA ANAYEJIITA KWA MFANO WA MAJINA YA KIKOLONI KWAMBA NI MKISTO ... SITA NI MWABUDU SHETANI KAMA CCM WOTE WALIVYO. SITA MUNGU WAKE YUPO KWENYE VIBUYU...... TUACHANE NA HILO KATIBA BORA IMEPATIKANA HAYA SEMA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI