Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nilshasema Mzee Sita ataishia pabaya kisiasa, nilianzisha thread kabisaaaaa, ngoja niitafuteAbomination.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilshasema Mzee Sita ataishia pabaya kisiasa, nilianzisha thread kabisaaaaa, ngoja niitafuteAbomination.
Sipendi kubishana na wake za watu tuishi kwa adabu tafadhari sikutaki nitakuumbua vibaya sana.
Nyaraka zilizoandaliwa na Jukwaa la Wakristo kuhusu upuuzi wa BMK ni sahihi. Viongozi wa dini wana jukumu kubwa kuonesha ukweli unaotuweka huru.
Huyo Sitta awaombe radhi viongozi wa dini. Hawezi kuwaita wapuuzi kwani kusema kwao ukweli ni wajibu wao kitaifa (kizalendo).
Mjumbe wa Bunge la Katiba kutoka Zanzibar, Sheikh Thabit Kombo ameizika rasmi Mahakama ya Kadhi kwa kusema kwamba waislamu hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Kwa hiyo hakutakuwepo Mahakama ya Kadhi kama ambavyo waislamu wengi walivyokuwa wakitarajia.
Kulikuwa na taarifa kwamba wakristo wangepiga kura ya hapana endapo Mahakama ya Kadhi yangeruhusiwa kuwemo kwenye katiba mpya. Kwa kauli hii ya Sheikh kombo naona CCM wamefanikiwa kuwarubuni wajumbe wa katiba walio waislamu ili kuwanyima waislamu fursa ya kuwa na Mahakama ya Kadhi. Tuseme kwamba huu ni ushindi kwa wakristo au ni unafiki wa wajumbe wanaowakilisha waislamu bungeni?
Nawashauri waislamu tuliopo uraiani tuikatae katiba hii ya CCM isiyokuwa na Mahakama ya Kadhi. Kitendo cha Sheikh Kombo kukubali kurubuniwa na CCM na kuikataa Mahakama ya Kadhi kitasababisha mgawanyiko mkubwa sana miongoni mwa waislamu na kitaleta chuki dhidi ya wajumbe waislamu waliomo kwenye bunge la katiba.