Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amesema ukweli viongozi wa nyanja zote za kiserkali bila kuvikemea taasisi zote za dini na taasisi zisizo za kiserikali zitavipanda kichwani serikali
Ondoa shaka mkuu. Mahakamani watakwenda japo si ya kijeshi.Kuna haja Rais ajaye, aje awachukue watu kadhaa na kuwapeleka kwenye Mahakama ya Kijeshi.
Tafadhali, hapo sijaandika nani aende..............
UNAFIKI NI KITU KIBAYA SANA KATIKA MAISHA NI HUYUHUYU SITA ALIENDA KWA VIONGOZI WA DINI KUTAKA WAWASHAURI UKAWA WARUDI BUNGENI, NI HUYUHUYU SITA ALIKUWA AKIZUNGUKA KWENYE MAKANISA KUWASHUKURU VIONGOZI HAOHAO ANAOITA WARAKA WAO NI WAKIPUUZI BAADA YA MWAKYEMBE KUPONA, leo hii ndio shukurani yake kwao.
Kufuatia kauli yake ya leo katika BLK kuwa Waraka unaosomwa makanisani juu ya katiba mpya kuwa ni wa kipuuzi, Mwenyekiti wa BLK Samwel Sitta kuadhibiwa kikanisa. Habari toka KKKT anakosali Sitta zinaonesha kuwa adhabu hiyo iko njiani.
Viongozi wa kanisa wameitafsiri kauli hiyo kama kauli iliyojaa kiburi na dharau kwa viongozi wa juu wa kikanisa walioandaa Waraka huo ambao Sitta ameuita upuuzi. Adhabu ya juu ya kikanisa ni kufungiwa sakramenti na visakramenti.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mzee Sitta amechoka kabisa kimawazo. Bora tu amepewa hiyo nafasi ili tutambue uwezo wake. Ni zero full.Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
Waislamu waliomba wawe na mahakama ya kadhi mwaka 2005 wakadanganywa kuichagua CCM kwanza, wakaidai tena 2009 wakapigwa chenga na 2010 JK akawaambia akichaguliwa ataipitisha, alivyopita chaliii!Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
sijaelewa hapo kwenye aya ya kwanza, naomba uweke quotation mark ili nijue maneno alioyasema yanaanzia wapi na kuishia wapi.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
Huyu mnyamwezi mwenzangu kapoteza direction ya hii nchi na hata ya kwake mwenyewe. Halafu anataka kuwa head of state wa hii nchi,you just lost it my home boy
Kama unajua kwamba hayo maneno ni NUSU maana yake ni kwamba unayajua yote....sasa unachotaka ni nini? Husikii Katibu wako KINENA na vuvuzera NEPI wamesema kwamba katiba mpya siyo hitaji la wananchi? Hitaji la wananchi ni usenge na upuuzi wa CCM yako, mchumia tumbo mkubwa!
View attachment 189149
Laana ya katiba imeanza kumtafuna;
Angalieni huyu jamaa anaweza kuishia kuwa shujaa wa TAIFA... Unless Wazanbar wamuangushe...​Huyu Mzee anazidi kujionyesha jinsi alivyo mpuuzi.