Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Ni upuuzi usisemwe kwa sababu walioyasema hayo maneno ni viongozi wa dini? Acheni unafiki.
Hai viongozi WA dini kwa mamlaka ipi walio nayo kuanza kuingilia masuala ya siasa kwanza nauliza mambo ya mungu yameanza kuwashinda sasa naona hats Mimi nasema waliyoongea Ni upuuzi
Mod please usifikirie hata kuunganisha hii.
Kweli dunia imeisha, sitta mwenyekiti wa bunge la katiba lililokosa uhalali kutokana na kutekwa na chama cha mapinduzi ni ulimi umekuteleza au shetani kakuingia mpk ukaamua kusema nyaraka zinazo somwa makanisani kuhusu mchakato wa katiba mpya ni upuuzi mtupu hazina utukufu.
Sitta Samuel uliteuliwa na nani hapa duniani kupima waraka wa viongozi wetu wa dini kua zina utukufu au la !!!!?
je viongozi wetu wa dini hawana mamlaka wa kukemea uovu unaoendelea dodoma??
nijibu sitta.
SITTA cheo ulichonacho ni cha mwisho ubunge hupati na URAISI ndio huna sifa siunaona hata 5 bora ya wana CCM hutajwi Mzee BMK limekumaliza
Waulizeni hao viongozi wenu wanaojiita wa dini watuambie ni lini YESU aliingiza mambo ya Kaisari kwenye mahubiri yake? kazi kubwa waliyonayo ni kuwahubiri watu njia iliyonyoofu ya kwenda kuuona ufalme wa mbingu na si matakwa ya wanasiasa. Ndo maan kipindi cha Mwalimu hakuna kiongozi wa dini aliyekuwa kiherehere kutoa matamko ambayo yako kidunia zaidi. Ndo maana YESU alivyotaka kupaa kwenda mbinguni aliwaambia wafuasi wake (wanafunzi) kuwa enedeni duniani kote mkawahubiri watu na atakae amini mtambatiza kwa jina la Baba, Mwana na roho mtakatifu. hakuna sehemu aliyowaambia enendeni duniani mkatengeneze au kushauri watu kupinga au kuhoji kuhusu KATIBA ya nchi husika. Mbona wanashindwa kukemea maovu yanayoendelea makanisani kama vile uashereati, uzinzi, uongo, wizi, kutopendana baina ya viongozi wa dini moja na nyingine. Walichobakiza sasa ni matamko ya kila siku na nyaraka zizokuwa na mwisho. Wanaona vibanzi vya wengine wakati wao wana bolt kubwa ndani ya maco yao. Badilikeni Mungu anachukizwa na hayo matendo yenu. Ndo maana sasa hivi kiongozi wa dini amekuwa mtu wa kawaida kabisa. Wanasiasa wanawatumia vibaya.

tatizo ni kwamba serikli hii ni dhaifu saana na haina moral authority ya kunyooshea kidole viongozi wetu wa diniamesema ukweli viongozi wa nyanja zote za kiserkali bila kuvikemea taasisi zote za dini na taasisi zisizo za kiserikali zitavipanda kichwani serikali
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
Waulizeni hao viongozi wenu wanaojiita wa dini watuambie ni lini YESU aliingiza mambo ya Kaisari kwenye mahubiri yake? kazi kubwa waliyonayo ni kuwahubiri watu njia iliyonyoofu ya kwenda kuuona ufalme wa mbingu na si matakwa ya wanasiasa. Ndo maan kipindi cha Mwalimu hakuna kiongozi wa dini aliyekuwa kiherehere kutoa matamko ambayo yako kidunia zaidi. Ndo maana YESU alivyotaka kupaa kwenda mbinguni aliwaambia wafuasi wake (wanafunzi) kuwa enedeni duniani kote mkawahubiri watu na atakae amini mtambatiza kwa jina la Baba, Mwana na roho mtakatifu. hakuna sehemu aliyowaambia enendeni duniani mkatengeneze au kushauri watu kupinga au kuhoji kuhusu KATIBA ya nchi husika. Mbona wanashindwa kukemea maovu yanayoendelea makanisani kama vile uashereati, uzinzi, uongo, wizi, kutopendana baina ya viongozi wa dini moja na nyingine. Walichobakiza sasa ni matamko ya kila siku na nyaraka zizokuwa na mwisho. Wanaona vibanzi vya wengine wakati wao wana bolt kubwa ndani ya maco yao. Badilikeni Mungu anachukizwa na hayo matendo yenu. Ndo maana sasa hivi kiongozi wa dini amekuwa mtu wa kawaida kabisa. Wanasiasa wanawatumia vibaya.
Sio kweli. KKKT kama wameona Sitta kakosea na ni muumini wao lazima ataadhibiwa tuu. Hayo mengine ni yako wewe.
Mkuu, kichwa chako kinafikiri anticlockwise! Ni nani aliyemtuma Shehe Jongo kwenda kuililia CCM bungeni au maasakofu wachumia tumbo kama Mtetemela kwenda bungeni kuitetea CCM? uNadhani ni kwa nini bunge la katiba linajumuisha watu wa dini? Kwa taarifa yako, wale wanadini wametumwa mle kuwatetea waumini wao (kama raia wengine). Ni bahati mbaya kwamba baada ya kufika bungeni wamenogewa na laki 3 za CCM na kuwasahau wanachi waliowatuma kuwawakilisha. Sioni kwanini viongozi wa dini wasipaze sauti baada ya wawakilishi wao kutekwa na CCM. Wewe ulitaka Kikwete asiwajumuishe watu wa dini kwenye BMK? Kwanini? Unamlaumu Kikwete kwa kuwateua wachumia tummbo hawa au unawalaumu wachumia tumbo kwa kuwasahau watu walioenda kuwawakilisha ndani ya BMK? Bado sijakuelewa kabisa mkuu.
Sitta ana laana! kamtelekeza Mama yake mzazi na ndugu zake itakuwa Watanzania? kwao alipozaliwa amegoma kujenga nyumba kwa roho mbaya ili ndugu zake wakose pa kuishi, ni jitu hatari sana kama Ebola!