tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Yuko sahihi hajakosea
hajakosea nini wewe mama? mbona unaongea kwa kujificha? hebu jitokeze uongee tukusikie...enhee unasema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi hajakosea
Kwahiyo katiba Ni jambo la kidini washenzi wakubwa nyie eti mnatoa waraka ili nani afuate. Na waislamu nao wakitoa waraka itakuaje wewe na viongozi wako ndio mnafikiria kwa kutumia masaburi wapuuzi nyie.serikali haiendeshwi na viongozi WA dini tena mfunge midomo yenu puu..mba.vu
Nilshasema Mzee Sita ataishia pabaya kisiasa, nilianzisha thread kabisaaaaa, ngoja niitafute
Ok sikatai. Mie pia nasali makanisa hayo. Ila pengine hapo Kinondoni wako hivyo.
Umuimbue nan ww unamengwa na wasira ma laya wa kiccm
nashindwa kukoment sababu sijui maongezi yake kwa ujumla tunaweza kumwonea bure
msimchonganishe sitta na kanisa
Mkuu, hii ndiyo tabia ya WATAWALA.Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
mwenyekiti wa bunge la katiba,samweli sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo tanzania(cct) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.